Recent posts
1 November 2024, 6:50 pm
Matumizi ya nishati ya umeme jua ni tija katika kilimo
Na Mindi Joseph Matumizi ya nishati ya umeme jua katika shughuli za Kilimo inatajwa kuwa Mkombozi kwa wakulima kutokana na kuokoa gharama mbalimbali pamoja na kuwezesha uzalishaji wenye tija kwa msimu mzima. Bwana Ngalya mkulima mkazi wa Kata cha Matungulu…
30 October 2024, 6:30 pm
Kitambulisho cha taifa ni muhimu kwa fursa za kiuchumi
Na. Anselima Komba. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka vijana waliofikisha umri wa miaka 18 kujiandikisha ili kupata kitambulusho cha Taifa ili kukabiliana na fursa za kiuchumi . Afisa usajili Wilaya ya Bahi NIDA Bwn. Ombeni Ngowo ametoa wito…
30 October 2024, 6:29 pm
Elimu zaidi yahitajika kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia
Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ni muhimu Jamii inatakiwa kufahamu na kuelewa utaratibu wa kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia ili kuwezesha kuripotiwa kwa kesi hizo na kufanyika ufuatiliaji. Akizungumza katika mdahalo wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana…
30 October 2024, 6:29 pm
Shule ya sekondari Chikole yapata elimu ya lishe
Na Fred Cheti Katika kuadhimisha Siku ya Lishe Duniani Halmashauri ya Jiji la Dodoma kupitia Idara ya Afya na Lishe Imetoa Elimu ya Upimaji wa Hali ya Lishe na Makundi ya Vyakula kwa wanafunzi na walimu wa shule ya Sekondari…
29 October 2024, 8:05 pm
Je, sheria inasemaje umiliki wa mali binafsi katika ndoa?
Na Leonard Mwacha. Suala la umiliki wa mali binafsi katika ndoa limekuwa na sintofahamu kutokana na kukosekana kwa elimu ya umiliki wa mali kwa wanandoa. Hali hiyo huweza kuleta changamoto za mahusiano baina ya wanandoa haswa pindi ambapo mali hizo…
29 October 2024, 8:05 pm
Lishe bora ni muhimu kwa vijana balehe
Na Mariam Matundu. Lishe bora kwa vijana balehe ni muhimu ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya mwili wa kijana. Imeelezwa kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kuzingatia lishe bora kwa kundi la vijana balehe wa miaka 10 hadi 19 ili…
29 October 2024, 8:04 pm
Soko la Machinga Dodoma kufanyiwa maboresho
Na Anwary Shabani. Soko la Machinga Jijini Dodoma litafanyiwa maboresho ya uwekaji wa vigae vya chini ili kuondoa vumbi ambalo limekuwa kero kwa wafanyabiashara sokoni hapo. Maboresho hayo yanafuatia baada ya malalamiko toka kwa wafanyabiashara wadogo wadogo katika risala iliyosomwa na…
29 October 2024, 4:00 pm
DUWASA yaondoa adha ya maji Kisasa
Na Selemani Kodima. Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dodoma DUWASA imekamilisha uchimbaji wa kisima cha maji kitakachowahudumia wananchi wapatao Elfu 28 jijini Dodoma katika maeneo ya Kisasa, Mwagaza na Nyumba Mia Tatu na utatekelezwa kwa kipindi cha…
29 October 2024, 3:59 pm
Hospitali ya Benjamini Mkapa kupambana na ukatili wa kijinsia
Na Mariam Matundu. Hospitali ya Benjamini Mkapa imeanzisha mtandao wa kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyotokea mara nyingi kwa watoto . Hii ni kufuatia kupokea wagonjwa ambao hutibiwa hosptalini hapo na kubainika wamefanyiwa vitendo vya ukatili ama wanapitia…
29 October 2024, 3:59 pm
Wanawake KLPT watakiwa kujitokeza siku ya uchaguzi Nov. 27
Na Noel Steven Wanawake wa Kanisa la Pentekoste Tanzania KLPT wilayani Mpwapwa, wamehimizwa kujitokeza siku ya uchaguzi Novemba 27 Ili kuweza kuchagua viongozi bora wa Serikali za mitaa. Akiongea katika siku ya kuhitimisha wiki ya wanawake KLPT Parishi ya Ng’ambo,…