Dodoma FM

Recent posts

25 August 2025, 13:42

Madeni yaliyopitiliza yaathiri malezi ya watoto

Mbali na hayo ASP Christer Kayombo amesema kuwa madeni yaliyopitiliza yanaweza kusababisha Mzazi kujiingiza katika biashara zisizofaa na kuathiri mwenendo mzima wa maisha ya mtoto. Na Farashuu Abdallah.Imeelezwa kuwa madeni yaliyopitiliza kwa Wazazi ni chanzo cha kuathiri ukuaji wa Mtoto…

22 August 2025, 16:06

Vinara wa uwajibikaji wachaguliwa Inzomvu

Picha ni wakazi wa kijiji cha Inzomvu wilayani Mpwampwa wakiunga mkono uwepo wa vinara wa uwajibikaji. Picha na Seleman Kodima. Baadhi ya Vinara wa Uwajibikaji na usimamizi wa Rasilimali za umma kupitia Mradi wa Raia Makini waliochanguliwa na wananchi wameahidi…

22 August 2025, 15:45

Mradi wa raia Makini wazidi kuimarisha ushiriki wa jamii

Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Kimagai wakiwa pamoja na Vinara wa uwajibikaji kupitia Mradi wa Raia Makini. Picha na Seleman Kodima. Mradi huu unatekelezwa katika mikoa 5 nchini Tanzania ambapo mkoani Dodoma unatekelezwa katika wilayani Mbili ambazo ni Bahi…

22 August 2025, 13:31

Wafanyabiashara nyama choma watakiwa kutumia nishati safi

Picha ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dt. Dotto Biteko na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakiwa na wafanyabiashara wa nyama choma Msalato. Picha na Seleman Kodima. Katika kuhakikisha  watanzania 80% wanatumia nishati safi ya…

22 August 2025, 12:41

Mkandarasi TBEA kufidia mradi wa njia ya kusafirisha umeme

Picha ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Biteko akitoa maagizo kwa mkandarasi. Picha na Seleman Kodima. Dkt. Biteko ameeleza kuwa, sababu zilizotolewa na Mkandarasi zakuchelewesha mradi ikiwemo ya wananchi kugoma kutoa maeneo kwa madaiya fidia na kukutana…

21 August 2025, 16:33

Wazazi watakiwa kuzingatia chanjo ya polio kwa watoto

Hivi karibuni UNICEF na shirika la afya duniani WHO nchini Tanzania walizindua kampeni kubwa ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio iliyowafikia Watoto zaidi ya milioni 4. Na Lovenes Miriam.Wazazi hususani wanawake wametakiwa kuachana na tabia ya kudharau chanjo ya…

21 August 2025, 16:09

Ajenda ya lishe shuleni iwe endelevu

Alhaj Jabir Shekimweri  amewasistiza walimu kuwa ajenda ya lishe shuleni iwe endelevu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanapata chakula. Na Lilian Leopold. Katika juhudi za kuboresha elimu na afya ya wanafunzi, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Alhaj Jabir Shekimweri,…

21 August 2025, 15:42

Uthubutu wa wanawake nafasi za uongozi

Wanawake walioko madarakani, kama Rais Samia Suluhu Hassan, hutumika kama mfano wa kuigwa, wakionyesha kuwa wanawake wanaweza kuongoza kwa mafanikio. Uthubutu wa wanawake katika kuwania nafasi za uongozi ni hatua muhimu sana katika kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia na…

20 August 2025, 17:59

PPRA yafungua mafunzo mfumo mpya wa NeST

Serikali kupitia PPRA imesema moduli hiyo mpya inalenga kuondoa changamoto zilizojitokeza awali na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa mikataba ya umma, ili kuhakikisha thamani ya fedha na uwajibikaji vinaimarika. Na Seleman Kodima.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa…

20 August 2025, 17:46

Mgombea udiwani Tambukareli awaahidi wananchi kunufaika na fursa

Zoezi la Uchukuaji wa Fomu za uteuzi wa nafasi ya udiwani limeanza tangu Agosti 14 na linatarajia kwenda hadi Agosti 27 kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi agosti 28 mwaka huu. Na Seleman Kodima.Mgombea wa Udiwani kupitia chama cha…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger