Dodoma FM

Recent posts

1 September 2025, 17:34

INEC yawarejesha wagombea ubunge wanne

Uamuzi huu ni sehemu ya kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika kwa uwazi, haki na kwa mujibu wa sheria za nchi. Na Mariam Kasawa. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeendelea na mchakato wa rufaa za wagombea wa nafasi za ubunge…

29 August 2025, 15:47

Dodoma yatumia wiki ya ustawi kutoa elimu malezi ya mtoto

watatumia maadhimisho hayo kutembelea vituo vya awali na vya kulelea watoto kwa ajili ya kutoa elimu ya makuzi. Na lilian Leopold.Wiki ya Ustawi wa Jamii imeanza kuadhimishwa rasmi hapa nchini, huku Jiji la Dodoma likitumia fursa hiyo kutoa elimu ya…

28 August 2025, 15:59

Rais Samia akutana na Mwabukusi Ikulu Chamwino

Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa. Na Yussuph Hassan.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

28 August 2025, 15:33

Jeshi la Polisi Tanzania mguu sawa kuelekea kampeni za uchaguzi mkuu 2025.

Vilevile, limewakumbusha wagombea kuzingatia ratiba na muda wa kampeni uliopangwa ili kuepuka mivutano, migongano au migogoro itakayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Na Mariam Kasawa.Jeshi la Polisi Tanzania limesema lipo tayari kuhakikisha amani, utulivu na usalama vinaendelea kudumishwa wakati wote wa…

28 August 2025, 15:13

Dawati kuwachukulia hatua wazazi wanao toa adhabu za vipigo vikali

Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inasimama kidete kupinga vipigo vikali na ukatili wa aina yoyote dhidi ya watoto. Inasisitiza malezi yenye upendo, heshima na mbinu za kinidhamu zisizo hatarishi. Dawati la Jinsia na watoto jijini Dodoma limesema lipo tayari…

26 August 2025, 15:37

Unyonyeshaji kwa mtoto mama akifariki baada ya kuzaliwa

Je, mtoto ambaye amezaliwa na mama yake kufariki ni hatua zipi zinapaswa kufuata ili kumpatia maziwa? Na Yussuph Hassan.Leo tunaangazia namna sahihi ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa mtoto ambaye mzazi wake amefariki baada ya kuzaliwa. Huu ni mwanzo…

26 August 2025, 14:59

Fidia bil. 2.6 kulipwa Septemba waliopisha mradi wa umeme Kagera

Dkt Biteko amesema baada ya miaka michache, Mkoa wa Kagera hautakuwa na changamoto ya umeme. Na Seleman Kodima.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ameagiza wananchi waliopisha mradi wa Umeme Kagera walipwe fidia haraka. Agizo hilo amelitoa…

25 August 2025, 15:48

TAMESO (T) yawataka waganga wa tiba asili kushiriki mafunzo

Mafunzo hayo ni muhimu na yanalenga kuimarisha uelewa, uhifadhi wa maadili na usalama katika utoaji wa huduma za tiba asili. Na. Lilian Leopold.Wito umetolewa kwa waganga wa tiba asili na tiba mbadala kushiriki kikamilifu kwenye vikao maalum na mafunzo yanayoandaliwa…

25 August 2025, 14:05

Dodoma yaagizwa kuanzisha kijiji cha utalii wa wagogo

Amemtaka mkurugenzi wa jiji kushirikiana na Bodi ya Utalii kuangalia namna ya kuifanya Stesheni ya Treni ya SGR kuwa kivutio cha utalii. Na Peter Nnunduma. Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Suleman Jafo, ametoa agizo kwa Mkurugenzi wa Jiji la…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger