Dodoma FM
Dodoma FM
30/03/2021, 11:43
Na; Thadey Tesha Wito umetolewa kwa watu wenye ulemavu jijini hapa kujishughulisha na kazi mbalimbali zilizopo ndani ya uwezo wao ili kupunguza utegemezi katika jamii. Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa karakana ya watu wenye ulemavu Mkoani Dodoma…
30/03/2021, 08:54
Na; Mariam Kasawa RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kupitia kwa mpambe wake, leo Machi 30, amewasilisha Bungeni jina la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. . Jina hilo liliwasilishwa bungeni asubuhi ya leo Jumanne machi 30…
29/03/2021, 11:19
Na,Mindi Joseph Wakazi wa kijiji cha Kisokwe wilayani Mpwapwa wapo mbioni kuepukana na adha ya kukosa huduma ya Afya kijijini hapo kutokana na ujenzi wa kituo cha Afya kukaribia kukamilika. Akizungumza na Dodoma Fm Diwani wa kata ya Mazae Mwl.…
29/03/2021, 10:02
Na; Rabiamen Shoo. WAZIRI wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda amezitaka Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, kuongeza ubunifu ili kuleta mageuzi katika sekta ya kilimo sambamba na kuchochea ukuaji wa sekta ya viwanda na kilimo nchini. Akizungumza baada ya kuzindua…
29/03/2021, 06:00
Na; Mariam Kasawa. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere imeendelea kubaini dosari ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Taasisi na Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa. CAG amesema kati ya hati…
29/03/2021, 05:55
Na; Mariam Kasawa. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kushirikiana kwa pamoja kuchunguza fedha zilizotoka Benki kuu ya Tanzania kwa kipindi cha Januari…
26/03/2021, 11:52
Na; Mariam Kasawa. Hayati Dkt.John Pombe Magufuli atakumbukwa kwa utendaji kazi wake kwani alikuwa hodari tangu akiwa Waziri hadi alipoteuliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hayo yamesemwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete…
26/03/2021, 11:23
Na; Mariam Kasawa Mkuu wa Majeshi nchini Tanzania (CDF) Venance Mabeyo amemuhakikishia Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vitamtii na kutekeleza majukumu yake kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Jamhuri…
26/03/2021, 10:29
Na Selemani Kodima Mkuu wa wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga amesema wataendelea kumkumbuka Hayati Magufuli kwa Juhudi zake ambazo alizionesha kwa wakazi wa Chamwino katika Huduma za Msingi ikiwemo Huduma ya Maji na umeme. Bi Nyamoga amesema Hayati Magufuli alionyesha…
26/03/2021, 09:49
Na; Shani Nicolaus. Wafanyabiashara katika Mtaa wa Ihumwa jijini Dododma wametoa wito wa kukarabatiwa soko lao ili waepukane na changamoto wanayokumbana nayo hasa msimu wa mvua. Wakizungumza na Dodoma fm wafanyabiashara hao wameomba kutatuliwa adha hiyo mara baada ya kukamilika…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-