Recent posts
9 October 2024, 6:26 pm
Ulinzi na usalama waimarika Mkonze kudhibiti uhalifu, mauaji
Hali ya ulinzi na usalama imeimarika katika kata ya Mkonze kufuatia matukio kadhaa ya mauaji yaliyotokea katika kata hiyo kwa nyakati tofauti miiezi ya hivi karibuni. Akiongea na Dodoma TV, Mwenyekiti wa Mtaa wa Bwawani katika kata hiyo Bwn. Sospeter Abel …
9 October 2024, 6:25 pm
Fahamu madhara ya vidonge vya P2
Na Lilian Leopord. Matumizi ya vidonge vya P2 mara kwa mara kama mpango wa dharula wa kuzuia mimba imelelezwa kuwa na madhara makubwa katika suala zima la lafya ya uzazi. Akiongea na Dodoma TV, Daktari Fransis Mbwilu kutoka katika kituo cha…
9 October 2024, 6:24 pm
Misaada ni muhimu vituo vya yatima kujiendesha
Na Niza Mafita. Kituo cha kulelea watoto yatima cha Bicha ni moja ya vituo kinavyokabiliwa na changamoto ya mahitaji ya chakula pamoja na malazi. Mwalimu wa kituo hicho Bwn. Mikidadi Ally amebainisha hayo wakati akipokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka…
9 October 2024, 6:22 pm
NEMC yaagiza viwanda kufanya tathmini ya mazingira kabla Octoba 30
Na Mariam Kasawa. Balaza la Uhifadhi na Usimaizi wa Mazngira NEMC limetoa mwezi mmoja kwa viwanda kufanya tathmini za athari kwa mazingira ili kuepuka uchafuzi wa mazingira unaosababisha na shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu NEMC Dkt. Immaculate…
8 October 2024, 6:40 pm
Zijue sheria za mazingira kuepuka adhabu
Na Mariam Kasawa. Wananchi wametakiwa kuzitambua sheria mbalimbali za usimamizi wa mazingira pamoja adhabu zake endapo sheria hizo zitakiukwa ili kuepuka kuvunja sheria . Bwn. Onesmo Nzinga mwanasheria kutoka baraza la uhifadhi na usimamizi wa mazingira NEMC amesma hayo wakati…
8 October 2024, 6:40 pm
Chifu Chihoma mfano wa kuigwa uhifadhi utamaduni
Na Yussufu Hassan. Chifu Chihoma ni mfano wa kuingwa katika jamii kwa kufundisha na uhifadhi wa amali za tamaduni ya kigogo kwa vizazi vijavyo. Akiongea na Dodoma TV, Chifu Chimoma ameeleza juu ya vitu vya kitamaduni ambavyo amevihifadhi katika himaya…
8 October 2024, 6:39 pm
‘Skanka’ hatari kwa magojwa ya afya ya akili kwa wasichana Dodoma
Na Mariam Matundu. Wasichana jijini Dodoma wapo hatarini kupata magojwa ya afya ya akili kutokana na matumizi makubwa ya dawa za kulevya aina ya ‘skanka’. Akiwa katika mahojiano na Mariam Matundu mtangazaji wa Dodoma TV, Mkurugenzi wa taasisi ya Recovery…
8 October 2024, 6:35 pm
Dodoma yapata tuzo uboreshaji mazingira ya biashara na uwekezaji
Na Mariam Kasawa. Mkoa wa Dodoma umepokea tuzo ya TNBC kutokana na kufanikiwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Akiongea wakati wa kupokea tuzo hiyo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema tuzo hii ni heshima kubwa kwa…
7 October 2024, 7:04 pm
Zingatia mpangilio wa lishe kuepuka utapiamlo kwa mtoto
Na Stephen Noel Mpangilio wa lishe uzipozingatiwa ni chanzo kikubwa cha utapiamlo kwa mtoto hata kama endapo kuna wingi wa vyakula. Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto Bwn. Joshua Gedion amebainisha hayo wakati akiongea na Dodoma TV, katika kambi…
7 October 2024, 7:03 pm
Babu adaiwa kumlawiti mjukuu wake na kutoweka
Na Mindi Joseph. Babu anayedaiwa kumlawiti mjukuu wake wa miaka 12 katika Mtaa Ipagala jijini Dodoma ametoweka nyumbani kwake na hajulikani alipo baada ya kufanya tukio hilo mwishoni mwa wiki jana. Mwenyekiti wa mtaa wa Ipagala jijini Dodoma Bw. Elenei…