Dodoma FM
Dodoma FM
28 October 2025, 3:24 pm
Katika taarifa yake, Jaji Mwambegele ametoa maelekezo 10 muhimu ambayo wapiga kura wote wanapaswa kuyazingatia siku ya uchaguzi. Na Lilian Leopold.Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa maelekezo 10 kwa wapiga kura na wadau wote wa uchaguzi kuelekea Uchaguzi…
28 October 2025, 3:05 pm
Jeshi la Polisi limewataka wananchi, vyama vya siasa na wadau wote wa uchaguzi kushirikiaa na vyombo vya usalama ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na uwazi. Na Anwary Shaban.Jeshi la Polisi mkoani limetoa tamko kuelekea uchaguzi mkuu…
28 October 2025, 2:48 pm
Mitazamo hasi na kutoaminiwa na jamii ni baadhi ya vikwazo vinavyo wakumba wanawake. Na Mariam Matundu.Moja ya vikwazo wanavyo kutana navyo wanawake katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa ni mitazamo hasi ya kutokuaminiwa na jamii kutokana na mila…
27 October 2025, 5:29 pm
Hamis Makila amezungumza na msemaji wa timu hiyo Moses Mpunga ambapo ameeleza kuwa bado wanasubiri majibu kutoka bodi ya ligi.
27 October 2025, 3:55 pm
Leo tunaangazia ukatili unaowakabili watu wakati wa kampeni za kisiasa. Na Seleman KodimaTunaungana na Anthony Makinda, kijana kutoka Chang’ombe, ambaye anasimulia ukatili alioupitia wakati wa kipindi cha kampeni.
27 October 2025, 3:40 pm
Wameiomba Serikali kupeleka wataalamu wa masuala ya kijinsia kutoa elimu kwa wanandoa, pamoja na wataalamu wa ardhi, ili kupunguza migogoro ya mara kwa mara. Na Victor Chigwada.Wananchi wa Kijiji cha Mpwayungu, jijini Dodoma, wametakiwa kuachana na migogoro ya ardhi na…
27 October 2025, 3:20 pm
Kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Uchaguzi (NEC), uchaguzi mkuu utafanyika Oktoba 29, 2025, ambapo wananchi kote nchini watapata nafasi ya kuchagua viongozi wao katika ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani. Na Lilian Leopold.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma…
24 October 2025, 3:16 pm
Karibu uendelee kusikiliza mfululizo wa igizo la sauti ya tiba kupitia Dodoma fm na leo tupo sehemu ya nane karibu uweze kuburudika na kujifunza mambo mbalimbali.
24 October 2025, 3:00 pm
Mitandao ya kijamii wameweza imewezesha kujifunza mambo mbalimbali, kupata taarifa na kufanya biashara kupitia mitandaoni. Na Anwary Shaban.Wananchi wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kama fursa ya kukuza uchumi, kuongeza maarifa, na kuboresha shughuli zao za kila siku badala ya kuitumia…
24 October 2025, 12:11 pm
Vikwazo vya kijamii na kifamilia,Familia na jamii huweza kuwa kizuizi kwa wanawake kwa kuwataka waendelee na majukumu ya nyumbani badala ya kujihusisha na siasa.Wanawake hupewa majukumu ya malezi na kazi za nyumbani, jambo linalopunguza muda na rasilimali za kushiriki kampeni.…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-