Dodoma FM
Dodoma FM
28 October 2025, 3:56 pm

Changamoto hizo zinatajwa kupelekea mchezo huo kuto kukamilika.
Hamis makila amezungumza na meneja uwanja wa Jamhuri Bw. Hussein Mhando ambapo ameeleza changamoto zilizo tokea hadi kupelekea taa kusumbua uwanjani hapo na kupelekea mchezo huo kukatishwa.