

27 February 2025, 5:36 pm
Mwenyekiti wa mtaa huo Asiya Shabani nae akaeleza namna kuhusu Tukio hili lilivyo tokea .
Na Kitana Hamis.
Mwanafunzi wa Darasa la Pili aliye julikana kwa Jina la Musa Juma mwenye Umri wa miaka Kumi (10) Mkazi wa Bwawani Wilayani Kiteto Mkoani Manyara amejinyonga kwa kamba ya nguo laini kutokana na Kutelekezwa na Wazazi wake .
Taarifa zinaelezwa kuwa Marehem aliachwa na Wazazi wake wawili yeye akiwa na Dada yake akiwa na Miaka Kumi na Tano (15).
Dodoma Tv imepata nafasi ya Kuzungumza na Mama wa Marehemu ambapo alikuwa na haya yakusema .
Mwenyekiti wa mtaa huo Asiya Shabani nae akaeleza namna kuhusu Tukio hili lilivyo tokea .