Dodoma FM
Mtindo wa maisha chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza
15 November 2024, 7:40 pm
Na Noel Steven.
Mtindo wa maisha umetajwa kuwa ni moja ya chanzo kwa magonjwa yasiyoamabukiza kwa jamii.
Dkt John Simon mtaalamu wa magonjwa anaeleza jinsi mtindo wa maisha ulivyokuwa na athari za kiafya kwa jamii pamoja na Eliwasa Ndau Afisa lishe Halmashauri Wilaya ya Mpwapwa akieleza athari za uzito uliopitiliza. Aidha Yusuph Ridhiwani anachagiza changamoto za magonjwa yasiyoambukiza.