Dodoma FM

Serikali yawezesha RUWASA usafiri kufuatilia miradi

7 November 2024, 5:55 pm

Na Steven Noel.

Serikali imeipatia gari RUWASA wilaya ya Mpwapwa ili kuongeza ufanisi  katika kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji.

Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini  RUWASA mkoa wa Dodoma Mwandisi   Mbaraka Ally amezungumzia umuhimu wa chombo hicho cha usafiri pamoja na matokeo chanya katika kuboresha hali ya upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Mpwapwa.

Pichani Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini  RUWASA Mkoa wa Dodoma Mwandisi  Mbaraka Ally akizungumzia umuhimu wa chombo hicho cha usafiri katika kufuatilia miradi ya maji Mpwapwa

Aidha Meneja wa RUWASA Mhandisi Antidus Agustino Muchunguzi ameishukuru Serikali kwa kuwaptia chombo cha usafiri katika kufuatilia miradi inayotekelezwa  ndani ya wilaya ya Mpwapwa.

Pichani Meneja wa RUWASA Wilaya ya Mpwapwa Mhandisi Antidus Agustino Muchunguzi ameishukuru Sserikali kwa kipatia RUWASA chombo cha usafiri.
Sauti ya Mhandisi Antidus Agustino Muchunguzi

Kwa upande wa wananchi hawakusita kupaza sauti juu ya hali ya upatikanaji wa maji wilayani  Mpwapwa.

Pichani moja ya mkazi wa Mpwapwa akiomba serikali kukamilisha haraka kukamilisha mradi wa maji
Suati za wananchi
Pichani moja ya mwananchi akielezea hali ya upatikanaji wa maji Wilayani Mpwapwa.