Dodoma FM
Desturi za kigeni miongoni mwa sababu ndoa kuvunjika
25 October 2024, 6:35 pm
Na Anwari Shabani
Destruri za zimetajwa kuwa ni miongoni mwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa
Padri Novatus Bideberi Kanisa Kuu katoliki Parokia ya Mtakatifu Paulo Jijini Dodoma amesema kuwa kuwa kuiga mila na desturi za nje ni miongoni mwa sababu za migogoro inayovunja ndoa.
Aidha baadhi ya wananchi jijini Dodoma mameeleza kuwa tamaa kwa wanandoa ni moja ya sababu ya kuvunjika kwa ndoa nyingi.
Kwa mujibu wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza kuwa Mwaka 2021 kuanzia Julai hadi Juni 2022 wamepokea matukoa ya changamoto za ndoa 23,335 sawa na asilimia 30.7.