Dodoma FM

Miganga wadhamiria ujenzi wa ofisi Serikali ya Mtaa

13 September 2024, 7:34 pm

Picha kuonesha hatua ya ujenzi wa ofisi ya Serikali ya Mtaa Miganga

Kukamilika kwa ujenzi kwa ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa kutaboresha utoaji wa huduma kwa ufanisi kwa wananchi.

Na Mindi Joseph. Ujenzi wa ofisi ya serikali ya Mtaa katika mtaa wa Miganga kata ya Mkonze jijini Dodoma ambao umeanza kwa nguvu ya wanachi, unatarajiwa kukamilika mwaka 2025. Kukamilika kwa ujenzi huo kutaboresha utoaji wa huduma kwa ufanisi kwa wananchi hao.

Jitihada hizo zimefikiwa baada ya ofisi walizokuwa wanatumia awali kupitiwa na mradi wa barabara za mzunguko unaendelea kwa sasa jijini Dodoma.

Sauti za wananchi
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Miganga Kata ya Mkonze Bw Rudovick  Chogwe anaeleza ushiriki wa wananchi katika ujenzi huo na kilichosababisha kufanyika kwa ujenzi huo.

Bw Rudovick  Chogwe anaeleza ameeleza juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi kwa sasa ushiriki wa

Sauti ya Bw Rudovick  Chogwe

Kukamilika kwa ujenzi huu utaboresha zaidi utaoji wa huduma bora na kwa ufanisi kwa wananchi ukilinganisha na kipindi cha sasa.

Sauti za wananchi
Picha kuonesha rasilimali za ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa Miganga