Radio Tadio

ujenzi

5 July 2026, 2:06 pm

Kipungu: Usalama wa wanahabari ni muhimu wakati wa kazi

Ni wajibu wa kila mwandishi kuhakikisha kuwa kompyuta, simu, na mitandao yao inalindwa kwa njia salama wakati wote. Na Adelinus Banenwa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) umewataka waandishi wa habari nchini kuacha tabia ya kujisahau na…

8 June 2026, 11:15 am

Sagayika alaani tukio la mwanafunzi kubakwa Chato

Jeshi la Polisi limeeleza kuwa uchunguzi wa tukio hilo unaendelea huku likiwataka wananchi kuendelea kushirikiana na vyombo vya dola katika kutoa taarifa zitakazosaidia kukamilisha uchunguzi na kuhakikisha haki inatendeka. Na Mrisho Sadick: Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa ambae…

30 November 2025, 2:35 pm

Bwanga katika mapambano ya ugonjwa wa kisukari

Iwapo wananchi hawatachukua hatua za haraka za kujitokeza kufanya uchunguzi wa magonjwa yasioambukiza yanaweza kuleta madhara makubwa ikiwemo figo kufeli. Na Mrisho Sadick: Chama cha ugonjwa wa kisukari Tanzania kwa kushirikiana na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa wa Geita…

20 November 2025, 5:16 pm

Hii hapa sababu ya vifo vya wavuvi Chato kupungua

Mamlaka za usalama majini zimeahidi kuendelea na ukaguzi wa mara kwa mara, kutoa mafunzo na kusisitiza matumizi ya vifaa vya usalama majini. Na Mrisho Sadick: Vifo vitokanavyo na ajali za majini wilayani Chato Mkoani Geita vimepungua kwa asilimia kubwa baada…

13 November 2025, 1:50 pm

Wananchi na TFS wajenga Zahanati ya kijiji Chato

Suala la wananchi wa Butengorumasa kujitolea kwa hiari yao kuanzisha ujenzi wa Zahanati imekuwa mkombozi kwao baada ya TFS kuingilia kati nakukamilisha ujenzi huo. Na Mrisho Sadick: Wakala wa huduma za misitu Tanzania TFS kwa kushirikiana na wakazi wa kijiji…

26 January 2024, 1:53 am

Kyela: Isaki waoga noti za Babylon Mwakyambile

Wanachama wa chama cha Mapinduzi hapa wilayani kyela wametakiwa kuungana ili kukamirisha ujenzi wa jingo la ofisi za kata Isaki hapa wilayani Kyela ili kuondoa kadhia ya kuwafuata viongozi wa chama nyumbani kwao. Na James Mwakyembe Mdau maendeleo na mwanachama…

9 January 2024, 18:30

Zahanati ya Rufumbi wilayani Rungwe mbioni kukamilika

Na mwandishi wetu Hatua ya ukamilishaji katika zahanati ya Lufumbi kata ya Masoko inatoa fursa kwa wakazi wa kijiji hiki kupata huduma ya matibabu karibu na makazi yao. Zahanati hii imejengwa kwa nguvu za wananchi huku Halmashauri ikitoa kiasi cha…