Dodoma FM

Dhana ya kubemenda yastawisha heshima ya ndoa

10 September 2024, 7:21 pm

Dkt Matthew Gaudance kutoka Decca Polyclinic

Na Ysusuph Hassan. Dkt Matthew Gaudance kutoka Decca Polyclinic  amesema kuwa dhana ya kubemendwa kwa mtoto ni dhana inayolenga kudumisha uaminifu katika ndoa hivyo kuleta ustawi na kujenga jamii  bora yenye maadili.

Sauti ya Dkt Matthew Gaudance kutoka Decca Polyclinic

Aidha Dkt Matthew amewashauriwa wazazi na walezi kuzingatia lishe ya mama anayenyonyesha pamoja na mtoto ili kupata matokeo chanya ya ukuaji na kuondokana na dhana ya kubemendwa . Amedokeza kuwa pindi afya ya mtoto anayenyonyeshwa ikidhoofika awahishwa hospitali mapema kwa uchunguzi na matibabu ya kiafya.

Sauti ya Dkt Matthew Gaudance kutoka Decca Polyclinic