Dodoma FM

Nafasi ya wadau katika upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana

15 August 2024, 6:09 pm

Picha ni binti ambae ambae amepata mtoto katika umri mdogo.Picha na Mtanzania.

Bado tupo na Dkt Fransic Andrew kutoka Hospitali ya Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) hapa anatueleza zaidi.

Na Seleman Kodima.
Leo tunaangazia nafasi ya wadau katika kuhakikisha wanafanikisha suala la upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana ili kuepukana na mimba za utotoni.