Dodoma FM

Wananchi Mpamaa wakumbwa na taharuki jiji kugawa ardhi yao

6 August 2024, 6:32 pm

Picha ni wakazi wa mtaa huo wa Mpamaa wakiwa katika maeneo hayo.Picha na Mindi Joseph.

Miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na yale ambayo yametengwa kwa ajili ya shughuli za Kijamii, kama Shule na huduma nyinginezo ikiwemo Soko.

Na Mindi Joseph.
Wananchi wa Mtaa wa Mpamaa Mkoani Dodoma wameshagazwa kwa kitendo cha Mamlaka ya Jiji kugawa Ardhi zao kwa watu wasiojulikana na wazawa kuachwa bila chochote.

Miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na yale ambayo yametengwa kwa ajili ya shughuli za Kijamii, kama Shule na huduma nyinginezo ikiwemo Soko.

Sauti za wananchi.

Hezron Charles ni Balozi mtaa wa Mpamaa anasema.

Sauti ya Balozi.
Picha ni Ardhi hiyo ambayo imegaiwa.Picha na Mindi Joseph.

Jafari Mnenwa ni mtetezi wa haki za Binadamu anasema.

Sauti ya mtetezi wa haki za Binadamu.

Mamlaka za jiji bado hazijasema lolote , lakini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mara kadhaa amekuwa akiwasisitiza viongozi walioko chini yake kutatua migogoro kwa weledi na staha kabla migogoro hiyo haijafikishwa ngazi za juu. Lakini kulikoni haya yanaendelea kutokea kila wakati.