Dodoma FM
Dodoma FM
18/07/2024, 16:39

Leo katika Fahari tunaangazia maisha ya mnyama simba katika utawala na mawindo .
Na Yussuph Hassan.
Je, unafahamu kuwa simba dume akivamia familia ya simba mwingine na kuitawala hulazimika kuwaua watoto madume wote na kisha kuanza kizazi chake upya.