Dodoma FM

Nafasi ya jamii kwa wenye ulemavu kupata elimu bila vikwazo

10 June 2024, 7:04 pm

Bado jitihada zaidi zinahitajika kwa watoto wenye ulemavu katiaka suala la elimu.Picha na UN news.

Mwandishi wetu Selemani Kodima amezungumza na Mzazi huyo.

Na Seleman Kodima.
Pamoja na jitihada zinazofanywa kuhakikisha watoto wenye ulemavu wanapata elimu kama watoto wengine, bado jitihada hizo hazijazaa matunda.

Kutokana uwepo vikwazo kwenye baadhi ya jamii ,leo tunakukutanisha na BABA ambaye amehusika kuhakikisha Binti yake mwenye ulemavu anafanikiwa kupata elimu bila kikwazo na namna alivyopambana kuvishinda vikwazo ili kufanikisha ndoto za binti yake