Dodoma FM
Dodoma FM
21/12/2023, 16:23

Mila na desturi zimetajwa kuchangia kumnyima mwanamke haki ya kumiliki mali hali inayomrudisha nyuma kimaendeleo na kuchochea vitendo vya ukatili wa kijinsia .
Na Mariam Matundu.
Mariam Matundu amezungumza na mwanasheria kutoka Chama Chama Wanasheria Wanawake TAWLA Neema Ahmed ana anaanza kueleza sheria zinasemaju juu ya mwanamke kumiliki mali .