Dodoma FM
Asili ya ngoma za wagogo
14 April 2023, 3:12 pm
Ngoma zimeendelea kuwa moja ya urithi wa katika kabila hili la wagogo ka njia njia ya kuburudika katika sherehe mbalimbali.
Na Yussuph Hassan.
Ngoma za wagogo, ngoma hizi ni jadi ya kabila la kabila la wagogo katika shughuli mbalimbali huchezwa ngoma hizi.
Ngoma hizi hupigwa, katika sherehe, kipindi cha matambiko, kipindi cha mavuno, jando na nk.
Huanza na majigambo na wapigaji huanza na midondoko ya taratibu wakifatiwa na waimbaji wenye sauti laini zenye kuburudisha na kufanya hadhira ilohudhuria kumakinika na ngoma hizo.
Clip ngoma na source.
Awali ngoma hizi zilikuwa zikichezwa na wanawake pekee lakini kwa sasa huchezwa na watu wote katika kutunza mila hizo za wagogo.