Radio Tadio

TAKUKURU

23 August 2026, 3:22 pm

Ukeketaji unavyochangia ndoa za utotoni

Asilimia 38.3 ya wanawake wenye umri wa miaka 20 hadi 24 mkoani Mara walikuwa wameolewa kabla ya kufikisha miaka 18. Na Edward Lucas Baadhi ya mila zinazohusisha ukeketaji mkoani Mara zimeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia wasichana kuingia kwenye ndoa…

20 July 2026, 11:46

TPA kuendelea kupanua na kuboresha bandari nchini

Licha ya ushindani uliopo katika ukanda wa Afrika Mashariki, kipaumbele cha TPA ni kuongeza uwezo wa kuhudumia meli na mizigo kwa haraka na kwa ufanisi ili kuendelea kuvutia wateja Na Mwandisshi wetu Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania…

24 June 2026, 14:26

Polisi yaahidi kuendeleza ushirikiano na TAMESO T

Ushirikiano kati ya serikali, wataalamu wa afya na waganga wa tiba asilia unatajwa kuwa hatua muhimu katika kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa huku vitendo vinavyochochewa na imani potofu vikidhibitiwa kwa manufaa ya jamii. Na Anwary Shaban. Jeshi la Polisi nchini…

25 February 2025, 18:26

Ashikiliwa na jeshi la polisi kwa kujifanya daktari

Hata hivyo Jeshi hilo linaomba rai kwa Wananchi walio tapeliwa kufika ili kuweza kutambua simu zao zilizo ibiwa. Na Kitana Hamis.Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Mtu Mmoja aliye julikana kwa Jina la Victor Onesmo Mwenyewe umri wa Miaka Thelathini…

8 November 2023, 13:39

Takukuru yabaini mapungufu kwenye miradi minne ya maendeleo Kigoma

Vitendo vya rushwa vimeendelea kushamiri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchi hali inayochangia baadhi ya miradi hiyo kushindwa kukamilika kwa wakati. Na, Lucas Hoha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu…