Dodoma FM
Dodoma FM
9 September 2025, 13:30
Amesisitiza kuwa taasisi na asasi hizo haziruhusiwi kuwapa watu wengine, taasisi au asasi vibali walivyopewa, na kwamba vibali hivyo vinapaswa kutumiwa na walengwa pekee. Na Yussuph Hassan.Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata…
5 September 2025, 17:40
Kwa mujibu wa Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 na marekebisho yake, kila dereva wa chombo cha moto anatakiwa kuendesha kwa kasi isiyozidi viwango vilivyowekwa, kuzingatia alama na michoro ya barabarani, pamoja na kuhakikisha usalama wa watembea kwa miguu…
5 September 2025, 17:19
Miradi inawezesha kuwaibua na kuwaunganisha watoto na vijana kwenye matibabu, kuwasaidia kubaki katika huduma na matibabu na kuishi maisha yenye afya. Na Yussuph Hassan.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amepokea na kukabidhi vifaa vya michezo, vya kujifunzia pamoja na…
3 September 2025, 17:50
Na Yussuph Hassan.Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongosso Wambura, amesisitiza kuwa usalama wa waandishi wa habari ni suala la kipaumbele kwa Jeshi la Polisi, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba…
3 September 2025, 17:26
Uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Nchini Tanzania ulifanyika tarehe 16 Juni 2025 katika Viwanja vya Nyakabindi, Bariadi, Mkoa wa Simiyu, katika hafla hiyo, Rais Samia alizindua rasmi kampeni ya kitaifa ya chanjo ya mifugo na utambuzi wa wanyama,…
2 September 2025, 16:43
Na Yussuph Hassan.Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu matukio ya utekaji na kupotea kwa watu ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika vituo vya polisi ambapo kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa kwa kina, imebainika kuwa si matukio yote…
2 September 2025, 16:12
Na Lilian Leopold. Mafunzo ya matumizi ya mfumo wa kanzi data kwa watumishi wa Kanda sita za utoaji hudumawamefanyika chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, kwa lengo la kuboresha ukusanyaji wa mapato. Akida Hudu, Muhasibu wa Halmashauri…
1 September 2025, 17:34
Uamuzi huu ni sehemu ya kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika kwa uwazi, haki na kwa mujibu wa sheria za nchi. Na Mariam Kasawa. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeendelea na mchakato wa rufaa za wagombea wa nafasi za ubunge…
1 September 2025, 14:20
29 August 2025, 15:47
watatumia maadhimisho hayo kutembelea vituo vya awali na vya kulelea watoto kwa ajili ya kutoa elimu ya makuzi. Na lilian Leopold.Wiki ya Ustawi wa Jamii imeanza kuadhimishwa rasmi hapa nchini, huku Jiji la Dodoma likitumia fursa hiyo kutoa elimu ya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-