Dodoma FM

Recent posts

15 September 2025, 13:52

Mfahamu mwalimu aliyefundisha masaa mengi bila kupumzika

Kupitia kona ya vijimambo inayo kujia kupitia Dodoma fm leo tunamuangalia mwalimu wa somo la bailoji ambaye alitumia masaa mengi kufundisha bila kupumzika na kujikuta amevunja rekodi ya kufundisha somo hilo masaa mengi.

15 September 2025, 13:26

TMA yathibitisha mvua za vuli kuwa za wastani

Na Yussuph Hassan.Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA imesema katika msimu wa vuli mwaka 2025 mvua zinaratajiwa kuwa za wastani hadi chini ya wastani katika maeneo mengi na kutawaliwa na vipindi virefu vya ukavu hususan katika maeneo ya Pwani…

15 September 2025, 12:46

Ukosefu wa umeme kilio kwa wakazi wa Ngh’ambaku

Licha ya wananchi hao kutumia mafuta ya dizeli kukabiliana na changamoto ya umeme bado mafuta hayo hayakidhi mahitaji yao. Na; Victor chigwada.Imeelezwa kuwa matumizi ya mafuta ya Diesel Kwa wakazi wa Kijiji Cha Ngh’ambaku Wilaya ya Chamwino imekuwa ni changamoto…

11 September 2025, 16:43

Yapi mazingira rafiki kwa wenye ulemavu kushiriki uchaguzi?

Sheria ya watu wenye ulemavu ya mwaka 2010 inatambua haki ya kushiriki katika maisha ya kisiasa, ikiwemo kupiga kura na kugombea nafasi za uongozi. Na Yussuph Hassan.Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, wadau wa haki za watu wenye ulemavu…

11 September 2025, 16:18

Njaa yaanza kuwa tishio kwa wakazi wa Ndogowe

Wameongeza kuwa hali hiyo imewalazimu wanaume kuhama nyumbani na kwenda kutafuta fursa kwa ajili ya kukidhi uchumi wa familia. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa hali ya uhaba wa mvua katika msimu uliopita mwaka 2024/2025 imeaanza kuwaathiri wananchi wa kijiji cha Ndogowe…

10 September 2025, 16:03

Uchakavu wa barabara wakwamisha usafirishaji Ndogowe

Hata hivyo juhudi za kumpata meneja TANROAD Wilaya ya Chamwino hazikuweza kufanikiwa. Na Victor Chigwada.Wananchi wa Kijiji cha Ndogowe Kata ya Ngh’ambaku Wilaya ya Chamwino wameeleza kilio chao uchakavu wa barabara hali inayokwamisha huduma za usafirishaji kwa wananchi.Wamesema barabara inayotoka…

10 September 2025, 15:44

Migogoro ya familia inavyoathiri zoezi la unyonyeshaji

Afisa Ustawi wa Jami jiji la Dodoma Rosemary Nicodemus wakati akizungumza na Taswira ya Habari anasema uwepo wa migogoro katika familia ni jambo linaloathiri zoezi la unyonyeshaji kwa mama. Na Lilian Leopold.Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeeleza kuwa moja ya…

10 September 2025, 15:10

Aliyejiunganishia umeme ajikuta matatani

TANESCO imewataka wananchi wote waliounganishiwa umeme kwa njia zisizo halali kujitokeza mara moja kwa hiari ili kusafisha taarifa zao, huku ikisisitiza kuwa operesheni hiyo itaendeleakatika mikoa mingine ili kudhibiti wizi wa umeme nchini. Na Anwary Shaban.Mkazi mmoja wa Jiji la…

9 September 2025, 16:35

Ugumu wa maisha wapelekea visa vya kujiua kuongezeka

Aidha, vifo vitokanavyo na kujiua vinashika nafasi ya tatu duniani kwa vijana wenye umri wa miaka 15–29 ambapo zaidi ya asilimia 73 ya vifo hivyo hutokea nchi zenye kipato cha chini na cha kati. Na Lilian Leopold.Kuelekea maadhimisho ya Siku…

9 September 2025, 14:21

TAWA yamnasa simba jike aliyeuap zaidi ya mifugo 20 Kondoa

Afisa Mhifadhi Daraja la Kwanza ambaye pia ni Daktari wa Wanyamapori Masalu Makoye Mroje, amesema simba huyo atasafirishwa kwenda eneo la mbali lenye mazingira rafiki, ili kuzuia madhara kwa wananchi na mifugo yao. Na Peter Mnunduma.Mamlaka ya Usimamizi waWanyamapori Tanzania…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger