Dodoma FM

Recent posts

18 September 2025, 13:22

Jamii iachane na mila, desturi zenye madhara-Ndoboka

Tunachokipinga ni mila zinazokandamiza na kuumiza baadhi ya makundi katika jamii kwani tunaelewa kwamba kuna mila na desturi ambazo zinazofaa na zinajenga misingi ya jamii husika na maadili ya kitanzania”amesema Neema. Na Mariam Matundu.Serikali inaendelea na juhudi za kuchochea maendeleo…

16 September 2025, 15:33

UDOM yafungua rasmi mafunzo ya akili unde (AI)

Lengo kuu ni kuongeza uelewa na matumizi ya teknolojia ya Akili unde katika shughuli za maendeleo nchini. Na Seleman Kodima.Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimezindua rasmi mafunzo ya Akili Unde(AI), kwa kushirikisha wanafunzi pamoja na taasisi mbalimbali kutoka sekta binafsi…

16 September 2025, 15:08

Ajifanya mwanamke ili kumfanyia mtihani mpenzi wake

Je, nini kilipelekea kijana huyu ajiingize katika matatizo ili tu kumsaidia mpenzi wake? Fuatana nasi katika vjimambo. Leo katika vijimambo tupo nchini Uganda ambapo tunakutana na kisa cha kijana mmoja kujifanya mwanamke ili amfanyie mpenzi wake mtihani.

16 September 2025, 14:46

Dodoma jiji wapo tayari kuivaa KMC

Wamewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi ili kuwasapoti katika mchezo huo. Kocha wa timu ya Dodoma jiji ameeleza maandalizi yao kuelekea mchezo wao na KMC unaotarajiwa kuchezwa hapo kesho ambapo amesema tayari wachezaji wamejiandaa vizuri licha ya kufahamu kuwa ni mchezo…

16 September 2025, 14:27

Ndogowe waiomba serikali kukamilisha uchimbaji wa kisima

Serikali iliweka ahadi ya kuchimba kisima sambamba na ujenzi wa bwawa ambalo litawanufaisha wakazi wa eneo hilo Kwa kilimo cha umwagiliaji lakini bado haijateleza ahadi hiyo hadi leo. Na Victor Chigwada.Wakazi wa Kijiji cha Ndogowe Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma…

16 September 2025, 12:49

Tunaendelea na mtitiriko wa kipindi cha sauti ya tiba

Bado tunaendelea na mfululizo wa mchezo wa redio wa Sauti ya tiba sehemu yapili. Karibu uweze kujifunza kupitia mchezo huu ambao unalenga mambo mbalimbali yanayo ihusu jamii , mfululizo wa igizo hili unaupata kupitia Dodoma fm .

15 September 2025, 15:52

Teknolojia inavyoathiri malezi ya watoto

Teknolojia inaweza kuwa chachu ya maendeleo ikiwa itatumika kwa uangalifu na kwa ushauri wa karibu kutoka kwa wazazi. Na Joseph Gontako.Imeelezwa kuwa mabadiliko ya kiteknolojia yameathiri mfumo wa malezi katika jamii, kutokana na baadhi ya wazazi kutumia teknolojia zaidi katika…

15 September 2025, 15:34

Sikiliza mtiririko wa kipindi cha Sauti ya Tiba kupitia Dodoma FM

Karibu katika sehemu ya kwanza ya igizo la sauti ya tiba. Na Mariam Kasawa.Karibu kusikiliza mchezo wa redio unaoitwa sauti ya tiba ili uweze kuelimika na kupata burudani kipindi hiki kitakujia kila siku kupitiahttps://radiotadio.co.tz/dodomafm/ na hii ni sehemu ya kwanza…

15 September 2025, 13:52

Mfahamu mwalimu aliyefundisha masaa mengi bila kupumzika

Kupitia kona ya vijimambo inayo kujia kupitia Dodoma fm leo tunamuangalia mwalimu wa somo la bailoji ambaye alitumia masaa mengi kufundisha bila kupumzika na kujikuta amevunja rekodi ya kufundisha somo hilo masaa mengi.

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger