Dodoma FM
Dodoma FM
23 September 2025, 16:27
Wamesema kuwa hata kama barabara hizo hazijawekewa kiwango cha lami, ni vyema kujengewa mifereji pembezoni ili maji yatiririke kwa urahisi. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa mvua pamoja na maji yanayotiririka yamekuwa changamoto kubwa kwa barabara za vijijini, kutokana na vifusi vinavyotumika…
23 September 2025, 15:45
Amewaomba wafanyabiashara kutumia fursa ya zoezi hilo la elimu ya kodi mlango kwa mlango kwa ajili ya kutoa changamoto zao za kikodi zinazowakabili ili ziweze kupatiwa ufumbuzi. Na Lilian Leopold.Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Dodoma Bw.…
22 September 2025, 16:53
Hata hivyo, wanasema kuwa tofauti hiyo haizuizi kupata msaada wa kitaaluma na kuendelea kukuza elimu yao pasipo mashaka. Na Victor Chigwada .Imeelezwa kuwa tofauti za mfumo wa elimu ya juu na ule wa msingi na sekondari zimekuwa changamoto kwa baadhi…
22 September 2025, 16:32
Jamii pia imeshauriwa kujitokeza katika kliniki za watoto ili kupata elimu zaidi kuhusu lishe bora na namna ya kuandaa milo ya watoto kwa njia salama na yenye mvuto. Na Peter Mnunduma.Afisa Lishe kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma,…
22 September 2025, 15:00
Sehemu ya tatu ya igizo la sauti ya Tiba. Na Mariam Kasawa. Karibu katika sehemu ya tatu ya igizo la Sauti ya tiba linalo kujia kupitia Dodoma fm redio.
22 September 2025, 14:44
Ungana na Midwife Anitha Mganga ili uweze kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Afya ya mama na mtoto. Na Mariam Kasawa.Wiki hii katika kipindi Cha ijali Afya yako kipengele Cha mama na mtoto tunaangazia Afya ya mama kabla hajabeba ujauzito.
22 September 2025, 14:20
Walimu kutoka mikoa minne tofauti hapa Tanzania, walieleza furaha yao juu ya kuhusika katika mkutano huo na kuelezea namna wanavyonufaika na programu hii. Na Seleman Kodima.Mkutano wa pili wa mwaka wa walezi wa Klabu za Msichana Amani umefanyika jijini Dodoma,…
20 September 2025, 09:47
Baraza la Habari Tanzania MCT September 18 mwakahuu 2025 limewakutanisha wadauwa Habari kwa lengo la kujenga uhusiano mzuri kwa taasisi za serikali na waandishi wa Habari ili kuwezesha kazi ya wanahabari katika kuhabarisha umma pamoja na kujadili masuala ya ulinzi…
18 September 2025, 16:49
Ikumbukwe kwa jukwaa la msichana cafe limewakutanisha wawakilishi kutoka mikoa minne ambayo ni Dar es salaam,Dodoma,Pwani na Tabora ambapo lengo kuu ni kujadili changamoto wanazokutanazo wawakilishi hao. Na Seleman Kodima. Utoaji wa elimu kwa jamii kuhusu haki za mtoto wa…
18 September 2025, 13:58
Waandishi wa habari wametakiwa kutambua kuwa wana haki ya kuripoti habari zote za uchaguzi bila ubaguzi wowote. Na Mariam Kasawa. Tume ya haki za binadamu na utawala bora imewataka waandishi wa habari kuzingatia maadili kuepuka lugha za matusi, takrima na…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-