Dodoma FM
Dodoma FM
29 May 2021, 15:29
Na; Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Seleman Jafo ameziagiza Halmshauri zote nchini kupanda miti isiyopungua Milioni moja na laki tano kila mwaka ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Waziri Jafo ametoa maagizo…
28 May 2021, 13:54
Na;Yussuph Hans. Ikiwa leo ni siku ya hedhi Duniani moja ya changamoto wanayokutanayo wasichana nchini, ni baadhi ya wazazi kushindwa kubadili mtazamo wao na kuvunja ukimya kuhusu masuala ya hedhi. Hayo yamebainishwa na baadhi ya Wasichana jijini hapa wakati wakizungumza…
28 May 2021, 13:34
Na; Victor Chigwada. Baadhi ya Shule katika Kata ya Mpalanga Wilayani Bahi zinakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madarasa hali inayokwamisha maendeleo ya wanafunzi darasani. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema walianzisha ujenzi wa vyumba vya…
28 May 2021, 13:21
Na; MIND JOSEPH. Serikali imezitaka taasisi pamoja na vyuo vinavyohusika kutoa elimu ya Ufundi nchini kuhakikisha vinatoa elimu bora inayokidhi viwango na mahitaji ya soko la ajira. Hayo yamesemwa leo na waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Kassim…
28 May 2021, 13:04
Na; Mariam Matundu. Baadhi ya Wazazi na walezi Mkoani Rukwa wameelezwa kuchangia kuchelewesha upatikanaji wa haki kwa waathirika wa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto. Akizungumza na wadau wa Jukwaa la Haki Jinai Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Afya-…
28 May 2021, 12:41
Na; SHANI NICOLOUS. Mamlaka ya usimamizi wa bima Tanzania TIRA wametoa wito kwa wamiliki wa bima kuzingatia vitu muhimu vinavyohitajika wakati wakileta madai yao ili kupatiwa huduma sahihi itakayosaidia kutatua madai hayo. Akizungumza na Dodoma fm Afisa mwandamizi wa bima…
27 May 2021, 14:53
Na; Yussuph Hans. Kufuatia changamoto ya upatikanaji wa Ajira kwa Wahitimu Nchini, Serikali inaweka utaratibu mzuri ikiwemo mkakati wa ujenzi wa viwanda ambao utasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza changamoto hiy Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri Mkuu wa…
27 May 2021, 14:32
Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kushirikiana kwa karibu na Serikali katika vita dhidi ya ukatili wa kijinsia zikiwemo mimba kwa wanafunzi. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wanafunzi wa kike wa shule mbalimbali jijini hapa wamesema miongoni mwa sababu…
27 May 2021, 14:04
Na;Mindi Joseph. Serikali imesema maendeleo ya viwanda na usatawi wa jamii hayawezi kuleta tija pasipo kuwa na usimamizi bora kwenye elimu ya ufundi kama kichocheo endelevu cha ukuaji wa uchumi nchini Tanzania. Akizungumza katika Ufunguzi kongamano la wadau wa elimu…
27 May 2021, 13:08
Na ;Victor Chigwada Wakazi wa mtaa wa Nzuguni A Jijini Dodoma wamepata matumaini ya kupata huduma ya nishati ya umeme baada ya zoezi la usambazaji nguzo kupitia mradi wa REA kuanza katika eneo hilo. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-