Dodoma FM
Dodoma FM
4 August 2021, 09:51
Na; Mariam Matundu. Kukosekana kwa vyoo bora na rafiki kwa Wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya msingi Sokoni wilayani Bahi umesababisha wanafunzi kushindwa kujisitiri pale wanapohitaji kutumia vyoo hivyo. Wanafunzi hao Wamesema wamekuwa wakipata magonjwa ya kichocho hasa kwa wanafunzi…
3 August 2021, 13:55
Na; Selemani Kodima. Licha ya Serikali ya wilaya ya Kongwa kutoa kipaumbele katika kilimo cha korosho lakini inaelezwa kuwa upuliziaji wa dawa ni changamoto kwa baadhi ya wakulima katika kijiji cha Masinyeti hali inayosababisha mikorosho mingi kuduma. Akizungumza na Taswira…
3 August 2021, 13:37
Na;Mindi Joseph . Mjumbe wa Halmashauri kuu Taifa CCM na Mbunge wa jimbo la Mvumi mkoani Dodoma Mhe Livingstone Lusinde amewaomba wabunge kusimamia fedha walizopewa za kujenga barabara katika majimbo yao kwa lengo la kuwaletea wananchi maendeleo. Akizungumza na waandishi…
2 August 2021, 13:46
Na; Benard Filbert. Serikali imeombwa kuangalia upya sheria ya ndoa ya mwaka 2002 ambayo inamruhusu mtoto wa kike kuoelewa chini ya miaka 18 kwani imekuwa ikileta mkanganyiko katika jamii huku baadhi yao wakilazimika kukatisha masomo yao. Hayo yameelezw na Emmanuel…
2 August 2021, 13:34
Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa bado kuna ukimya unaoendelezwa na baadhi ya Wanaume na Wavulana wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa katika jamii hali ambayo inawasababishia madhara makubwa mbeleni. Wakizungumza na taswira ya habari wakazi jijini Dodoma wamesema kuwa ili kupiga hatua…
2 August 2021, 13:12
Na; Mariam Matundu. Kikundi cha wachambuzi wa sera na Wadau wa kilimo wanatarajia kukutana katika kongamano la saba la mwaka kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuongeza tija katika sekta hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa kikundi cha…
2 August 2021, 12:37
Na;Mindi Joseph. Jumla ya wakulima 4,099 kati yao asilimia 51 wanawake na 49 wanaume wamenufainka na Mradi wa kilimo himilivu cha zao la Mtama kutoka shirika la Farm Africa wilayani Kongwa Mkoani Dodoma mradi unaotekelezwa nchini Tanzania. Katika wilaya ya…
29 July 2021, 11:25
Na; Alfred Bulahya. Wananchi wa kijiji cha masinyeti Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwaunga mkono katika ujenzi wa zahanati ya kijiji ili kuwezesha kupata huduma za afya kijini hapo. Hayo yamebainishwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na…
29 July 2021, 10:52
Na; Benard Filbert. Akina mama wajawazito wameshauriwa kuzingatia lishe bora kwa kil mlo ili kuepuka kujifungua mtoto mwenye matatizo ya mdomo wazi. Ushauri huo umetolewa na daktari kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General) daktari Peter Mabula wakati…
29 July 2021, 10:30
Na; Shani Nicolous. Jamii imetakiwa kutokupuuza suala la kuandika wosia kuhusiana na masuala ya mirathi kwani kumekuwa na changamoto nyingi zinazojitokeza katika ugawaji wa mali za marehemu. Akizungumza na Dodoma fm kupitia kipindi cha Dodoma live msaidizi wa kisheria kutoka…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-