Dodoma FM
Dodoma FM
5 November 2021, 12:59
Na;Mindi Joeph . Waziri wa Madini Dotto Biteko amesema Mchango wa sekta ya madini umeongezeka na kufikia asilimia 7.7 ya pato la taifa katika robo ya pili ya mwaka 2021 huku ukitarajiwa kufikia asilimia 10 ifikapo mwaka 2025. Akizungumza leo…
4 November 2021, 12:32
Na ;Thadei Tesha. Wito umetolewa kwa taasisi mbalimbali zinazohusika na kutoa elimu juu ya kuwapa wafugaji elimu ya njia bora za ufugaji kuwa na utaratibu wakuwatembelea wafugaji hususani vijijini. Taswira ya habari umefanya mahojiano na baadhi ya wafugaji jijini hapa…
4 November 2021, 12:19
Na;Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuzingatia njia za kujikinga na ugonjwa wa malaria katika kipindi hiki cha masika. Akizungumza na Taswira ya habari Dr. Chesco Muhema kutoka hospitali ya mkoa wa Dodoma amesema kuwa wakati mvua ni hatari kwa…
4 November 2021, 11:44
Na; Mariam Matundu Imeelezwa kuwa hali ya utoaji na upokeaji chanjo ya uviko 19 inaridhisha kwakuwa wananchi wamehamasika na wanajitokeza kwa wingi hasa wananchi wanaoishi vijijini . Aidha wanawake wametajwa kujitokeza kwa wingi katika kupata chanjo hiyo maeneo yote nchini…
3 November 2021, 13:40
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kusoma na kuelewa mikataba mbalimbali wanayopewa katika makubaliano kabla ya kuisaini. Wito huo umetolewa na msaidizi wa kisheria kutoka kata ya Dodoma Makulu Bw. Kapesa Youngson wakati akizungumza na Taswira ya habari na…
3 November 2021, 13:21
Na; Mindi Joseph. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekutana na uongozi wa Benki ya Exim India kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji wa miji 28 ambao ni moja ya miradi ya maji iliyopangwa kutekelezwa na Serikali. Kikao hicho kimefanyika…
2 November 2021, 12:21
Na; Fred Cheti. Ikiwa leo ni siku maalumu ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanahabari Duniani ripoti ya kamati ya kuwalinda wanahabari ulimwenguni(CPJ) inaeleza kuwa Mataifa 13 yamekumbwa na visa vya mauaji ya kikatili dhidi ya wanahabari. Ripoti kutoka…
2 November 2021, 11:28
Na; Benard Filbert. Kufuatia taarifa za mamlaka ya hali ya hewa msimu huu kuwa na mvua chini ya wastani kanda ya kati wakulima wameshauriwa kuandaa mbegu zinazoendana na hali hiyo. Hayo yameelezwa na mkuu wa idara ya kilimo wilaya ya…
2 November 2021, 11:16
Na;Mariam matundu . Wakazi wa kijiji cha Babayu wilayani Chemba wameiomba serikali kuwaletea huduma ya maji safi ili kupunguza adha wanayokutana nayo katika kutafuta maji umbali mrefu. Baadhi ya wakazi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema wamekuwa wakitumia zaidi…
1 November 2021, 12:27
Na; Selemani Kodima. Uongozi wa kijiji cha Farakwa wilayani Chemba umesema unaendelea kutoka elimu kwa wananchi wake juu ya umuhimu wa matumizi sahihi ya chakula na uhifadhi wa mazao . Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa kijiji cha Farakwa Bw Costa…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-