Dodoma FM
Dodoma FM
29 November 2021, 12:33
Na; Mariam Matundu. Baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi linatarajia kufanya kongamano la tatu la ushiriki wa waTanzania katika miradi ya serikali ambalo litakusanya takribani wafanyabiasha 500 ndani na nje ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari hii leo…
26 November 2021, 13:53
Na;Mindi Joseph . Jumla ya nyumba 150 za watumishi wa umma katika eneo la Nzuguni zimeanza kujenga kupitia Miradi inayotekelezwa na wakala wa majengo Tanzania TBA jijini Dodoma huku zikitarajiwa kukamilika mwezi June 2022. Akizungumza katika Ziara ya viongozi wa…
26 November 2021, 13:38
Na; Fred Cheti . Serikali imewataka wananchi wote walioomba vitambulisho vya Taifa kwenda katika ofisi za Usajili za wilaya ,kata pamoja na vijini walipofanya usajili kwa ajili ya kwenda kuchukua vitambulisho hivyo badala ya kulalamika kuwa vitambulisho hivyo havitoki. Wito…
26 November 2021, 13:03
Na; Shani Nicolous. Mamlaka ya serikali mtandao ipo hatua za mwisho za usanifu wa mfumo unaoitwa E. mrejesho ambao utasaidia wananchi kuanadika pongezi au changamoto katika taasisi zote za umma. Akizungumza na Dodoma fm kupitia kipindi cha Dodoma live Kamishna…
26 November 2021, 12:36
Na; Mariam Matundu. Tume ya taifa ya uchaguzi imeshauriwa kuwa inatoa elimu endelevu ya chaguzi mbalimbali hapa nchi ili kuwezesha wanawake kuelimika zaidi na kujitokeza kugombea nafasi za uongozi zinazojitokeza. Hayo yamesemwa na mbunge wa viti maalumu mkoa wa Mbeya…
26 November 2021, 11:50
Na; Mariam Kasawa. kwa mara ya kwanza Mkoa wa Dodoma utakua na kituo cha Tv ambacho kitarusha matangazo yake moja kawa moja kutokea Dodoma. Akizungumza wakati wa kukabidhi leseni ya kituo hicho kipya mkurugenzi wa mamlaka ya mawasiliano kanda ya…
22 November 2021, 11:54
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Ihumwa Wilaya ya Dodoma mjini wameulalamikia mfuko wa maendeleo ya jamii(TASAF)juu ya vigezo walivyo zingatia katika usajili wa watu wenye uhitaji wa kusaidiawa na mfuko huo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya…
22 November 2021, 10:39
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuhakikisha watu wanamaliza dozi ya chanjo ya sinopharm mara baada ya kuchanja awamu ya kwanza. Wito huo umetolewa na Mratibu wa elimu ya afya Mkoa Dr .Nassoro Ally Matuzya amesema kuwa chanjo hiyo…
5 November 2021, 13:46
Na; Fred Cheti. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 5 ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa kumbukumbu ya Maisha ya Hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Akizungumza katika mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya…
5 November 2021, 13:26
Na; Mariam Matundu. Jamii imeshauriwa kuacha tamaduni za kutozungumza na watoto wao na badala yake wawe wa wazi katika kufikisha elimu ya afya ya uzazi. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya vijana wamesema kuwa wanakumbwa na sintofahamu juu ya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-