Dodoma FM
Dodoma FM
17 December 2021, 15:05
Na ;Mindi Joseph. Jukwaa la wadau wa nishati endelevu limesema Tanzania inahitaji sera madhubutu ya nishati jadidifu nyenye nyezo za utekelezaji katika mageuzi ya matumizi ya nishati na kuongeza usalama na upatikanaji wa nishati Nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa TaTEDO Eng.…
16 December 2021, 14:22
Na;Mindi joseph . Wakazi wa mtaa wa Nzinje jijini Dodoma wameiomba Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira DUWASA kuwasaidia kutatua changamoto ya maji inayowakabili kwa muda mrefu. Wakizungumza na Dodoma Fm baadhi ya wananchi hao wanasema kutokana na…
16 December 2021, 14:12
Na; Mariam Matundu. Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ili kutekeleza kikamilifu ahadi za nchi kuhusu kizazi chenye usawa ataunda wizara maalumu itakayo shughulikia masuala ya jinsia . Rais samia amesema hayo katika uzinduzi wa…
16 December 2021, 13:57
Na; Benard Filbert. Wafugaji katika Kata ya Ntyuka jijini Dodoma wametakiwa kuacha kupitisha mifugo yao barabarani ili kuepuka uharibifu wa barabara. Hayo yameelezwa na Diwani wa Kata hiyo Bw.Yona Mrema wakati akizungumza na taswira ya habari kuhusu utunzaji wa miundombinu…
14 December 2021, 13:50
Na; Mindi Joseph. Wakulima katika skimu za kilimo cha umwagiliaji wametaja kunufaika na teknolojia ya kisasa ambayo ni mbadala wa matumizi ya rasimali maji. Baadhi ya wakulima kutoka Kiwere na Mafuruto, wamesema wamenufaika na teknolojia hiyo maarufu kwa jina la…
14 December 2021, 12:31
Na ;Thadei Tesha. Wanawake waelezea jinsi wanavyo nufaika na taasisi mbalimbali zinazo tetea kundi la wanawake katika nyanja mbalimbali. Taswira ya habari imefanya mahojiano na baadhi ya wanawake kuhusiana na Namna walivyonufaika na harakati mbalimbali zinazofanywa na mashirika dhidi yao.…
14 December 2021, 11:51
Na; Yussuph Hans. Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Dodoma kimesema kinaendelea kujikita zaidi katika kutoa elimu kwa watumiaji wa Barabara ili kujikinga na ajali za barabarani . Akizungumza na kituo hiki Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani SACP Boniface Mbao…
13 December 2021, 15:25
Na; Thadei Tesha . Kutohudumia familia kwa baadi ya wanaume kunapelekea wanaume hao kufanyiwa vitendo vya ukatili na wenza wao na kukaa kimya. Taswira ya habari imefanya mahojiano na baadhi ya wananume kufahamu sababu zinazopelekea baadhi yao kusahau majukumu ya…
13 December 2021, 15:03
Na; Benard Filbert. Jamii imeshauriwa kuunga mkono kauli ya Serikali kuto kuwapeleka Watoto kusoma masomo ya ziada kipindi cha likizo na badala yake watumie muda huo kujifunza mambo mbalimbali ya kijamii. Ushauri huo umetolewa na mhadhiri wa chuo kikuu cha…
13 December 2021, 14:50
Na;Yussuph Hans. Kufuatia uanzishwaji wa Madawati ya jinsia katika Vyuo Vikuu Nchini hatua hiyo imeelezwa kuwa itasaidia kwa kiasi kupunguza Rushwa ya Ngono pamoja na matukio ya ukatili wa kijinsia. Wakizungumza na Taswira ya Habari wakazi Mkoani Dodoma wamesema kuwa…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-