Dodoma FM
Dodoma FM
13 January 2022, 14:32
Na; Thadei Tesha. Imeelezwa kuwa miongoni mwa ajali zinazotokea mara kadhaa nchini baadhi ya ajali hizo zinatokana na umwagaji wa mafuta machafu hovyo na kusababisha kuharibika kwa miundombinu ya barabarani. Baadhi ya madereva pamoja na watembea kwa miguu jijini hapa…
12 January 2022, 14:34
Na; Neema Shirima. Wakazi wa kata ya Mlowa bwawani jijini Dodoma wameelezea ushiriki wao katika suala la ulinzi na usalama katika mtaa wao ambapo wamesema wanashiriki vema katika kuhakikisha hali ya ulinzi inakuwepo katika maeneo yao. Wakizungumza na taswira ya…
12 January 2022, 14:20
Na; Benard Filbert. Wazazi katika kata ya Mbalawala jijini Dodoma wametakiwa kuwaandikisha watoto wao kujiunga kidato Cha kwanza. Hayo yanajiri kufuatia baadhi ya wanafunzi kudaiwa kuto kuendelea na elimu ya secondari kutokana na sababu mbalimbali. Ally Mohamed ni Diwani wa…
11 January 2022, 14:35
Na; Thadei Tesha. Wananchi jijini Dodoma wamewaomba viongozi wapya walioapishwa kufanya Kazi kwa bidii kwa lengo la kuwaletea wananchi maendeleo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi jijini hapa wamesema viongozi hao wanao wajibu mkubwa wa kuhakikisha wanafanya Kazi kwa bidii…
11 January 2022, 14:14
Na; Fred Cheti. Zoezi la uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kugombea kiti cha uspika wa bunge la Tanzania unaendelea ambapo baadhi ya viongozi na watu mbalimbali wameendelea kujitokeza katika zoezi hilo . Ni Katika makao makuu ya chama cha…
11 January 2022, 14:08
Na; Neema Shirima. Serikali ya Tanzania imepokea mradi wa kujenga chuo kikubwa cha ufundi stadi ambacho kitajengwa katika kata ya Mlowa bwawani ndani ya jiji la Dodoma Hayo yamebainishwa na diwani wa kata hio bwn Andrew ambapo amesema nchi ya…
20 December 2021, 13:53
Na; Thadey Tesha. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh Antony Mtaka Amezindua ujenzi wa eneo la wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga lililopo Bahi Road lenye uwezo wa kuchukua wamachinga zaidi ya 3800. Akizungumza katika uzinduzi huo mh Mtaka amesema kukamilika…
17 December 2021, 15:05
Na ;Mindi Joseph. Jukwaa la wadau wa nishati endelevu limesema Tanzania inahitaji sera madhubutu ya nishati jadidifu nyenye nyezo za utekelezaji katika mageuzi ya matumizi ya nishati na kuongeza usalama na upatikanaji wa nishati Nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa TaTEDO Eng.…
16 December 2021, 14:22
Na;Mindi joseph . Wakazi wa mtaa wa Nzinje jijini Dodoma wameiomba Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira DUWASA kuwasaidia kutatua changamoto ya maji inayowakabili kwa muda mrefu. Wakizungumza na Dodoma Fm baadhi ya wananchi hao wanasema kutokana na…
16 December 2021, 14:12
Na; Mariam Matundu. Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ili kutekeleza kikamilifu ahadi za nchi kuhusu kizazi chenye usawa ataunda wizara maalumu itakayo shughulikia masuala ya jinsia . Rais samia amesema hayo katika uzinduzi wa…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-