Recent posts
2 April 2021, 10:38 am
Waziri Dkt. Gwajima amshukuru Rais Samia kuimulika sekta ya maendeleo ya jamii
Na; Mariam Matundu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza nguvu katika Wizara hiyo kwa kuzingatia umuhimu wa Sekta ya…
2 April 2021, 9:46 am
Watanzania wahimizwa kutumia lugha ya kiswahili
Na; Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa kiswahili ni moja ya lugha iliyo enea katika Mataifa ya Afrika kutokana na jitihada mbalimbali zilizo fanyika katika kukuza lugha hiyo. Hayo yamesema na Kaimu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA Bi. Consolata Mushi…
2 April 2021, 8:55 am
Mila na desturi kiini cha ukatili kwa jamii.
Na; Alfred Bulahya. Wajumbe wa kamati za ulinzi wa mwanamke na mtoto (MTAKUWA) waliopo wilayani Chamwino Jijini Dodoma, wametakiwa kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii kwa kuibua vitendo vya ukatili na kupeleka kesi hizo kwenye mamalaka husika ili ziweze kupatiwa ufumbuzi…
1 April 2021, 1:07 pm
Fountain Gate warejea Kambini
Na; Matereka Junior Uongozi wa timu za Fountain Gate acadey umetangaza kurejea kambini kwa wachezaji wao wote wa timu za wanaume na wanawake ili kuanza maandalizi ya mechi za ligi. Afisa habari wa timu hiyo Juma Ayo amesema wachezaji wameanza…
1 April 2021, 11:24 am
Misingi bora ya jamii ni chanzo cha haki na usawa
Na; Mindi Joseph. Kituo cha sheria na haki za Binadamu kimemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassani kutengeneza misingi itakayohakikisha jamii inaishi kwa kufuata sheria haki na kuzingatia usawa wa kijinsia. Akizungumza na Taswira ya habari…
1 April 2021, 10:31 am
Madereva wanao fanya makosa kupewa adhabu
Na; Mariam Matundu. Waziri wa mambo ya ndani ya nchi George Simbachawene amesema wameweka utaratibu wa kutangaza majina ya madereva watakaokuwa wanafanya makosa ya kujirudia kila mwezi ikiwa ni sambamba na adhabu mbalimbali. Mh.Simbachawene ameyasema hayo hii leo na kutangaza…
1 April 2021, 7:48 am
Wabunge wateule wala kiapo bungeni
Na; Mariam Kasawa Spika wa Bunge Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu wa kuteuliwa na Rais leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 bungeni mjini Dodoma. Walioapishwa ni Balozi Liberata Mulamula, Balozi Bashiru Ally na Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk walioteuliwa na Rais Samia…
31 March 2021, 2:02 pm
Rais afanya mabadiliko baraza la mawaziri
Na; Mariam kasawa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri . Rais Suluhu amefanya mabadiliko hayo leo Machi 31,2021 Ikulu Chamwino Dodoma wakati wa hafla ndogo ya kumuapisha Makamu wa Rais,…
31 March 2021, 12:26 pm
Ligi kuu Tanzania Bara kurejea dimbani April 8
Na; Matereka Junior. Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania,(TPLB) Almas Kasongo amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea Aprili 8 baada ya kutimiza siku 21 za maombolezo. Amesema baada ya kuipitia ratiba yao wamekuja na mabadiliko ambapo ligi…