Recent posts
23 September 2024, 8:43 pm
Dodoma yafurahia wiki ya Madaktari Bingwa
Ujio wa Madaktari Bingwa mkoani Dodoma unatajwa kuwasaidia wananchi kupata huduma za kiafya . Wananchi takribani 100,000 wanatarajia kupata huduma za afya kutoka kwa Madaktari Bingwa kwenye Halmashauri 184 kote nchini. Na Mindi Joseph. Jumla ya Madaktari Bingwa na Bobezi…
23 September 2024, 8:43 pm
Elimu kipindi cha ujauzito husaidia afya ya uzazi
Watalamu wa Afya wanashauri muda muafaka wa kuanza kliniki ya afya ya uzazi kwa mama mjamzito ni pale tu anapogundua kuwa ni mjamzito. Na Yusuph Hassan. Jamii inashauriwa kuhakikisha kuwa inapata elimu ya afya ya uzazi kabla ya kubeba ujauzito…
23 September 2024, 8:43 pm
Mikopo asilimia 10 ni salama kwa wajasiriamali
Na Steven Noel. Wajasiriamali Wilayani Mpwapwa wameshauriwa kuwa makini wakati wa kutafuta na kuomba huduma za mikopo kutoka katika taasisi mbalimbali ili kuepukana na chamgamoto za marejesho zinazoweza kujitokeza kuhusiana na masharti ya mikopo hiyo. Aidha baadhi ya wakazi wilayani…
20 September 2024, 7:51 pm
Mavunde aweka alama ya kudumu Dodoma
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ambayo ina umr iwa miaka 104 inauwezo wa kuhudumia wagonjwa zaidi ya 1,500 kwa siku moja imekuwa na changamoto ya kuwa na miundombiny ya jengo la kusubiria wangonjwa kwa wananchi. Na Mindi Joseph…
20 September 2024, 7:51 pm
Changamkia siku 5 za huduma ya macho bure
Na Leonald Mwacha Halmashauri ya jiji la Dodoma kwa kushirikiana na Sightsavers ambao ni wadau afya ya macho wanatarajia kutoa huduma ya afya ya macho kata ya Hombolo kwa siku tano kuanzia Jumatatu ya tarehe 23/09/2024 mpaka 27 /09/2024. Fuatilia…
20 September 2024, 7:50 pm
Utaratibu wa daftari la makazi kinga dhidi ya mauaji Dodoma
Na Nazael Mkude Wakazi jijini Dodoma wametoa maoni yao kuhusu utaratibu wa kujiandikisha katika daftari la makazi ili kuweza kupunguza vitendo vya uvunjifu wa sheria. Kufuatia mwendelezo wa matukio ya kihalifu ya mara kwa mara yanayotokea katika jiji la Dodoma,…
20 September 2024, 7:50 pm
Vijana jiepusheni na rushwa chaguzi zijazo
Na Fred Cheti, Kuelekea katika chaguzi zijazo vijana wametakiwa kuwa makini na kujiepusha na masuala ya rushwa katika chaguzi hizo ili kuwapata viongozi wataokaopatikana kwa haki na kuwaletea maendeleo. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekuwa ikitoa elimu…
19 September 2024, 7:52 pm
Serikali yahimiza klabu za maadili shuleni
Kuwalea watoto katika malezi mema imetajwa kujenga kizazi bora na chenye maadili ambacho kitafuata mila na desturi la taifa letu. Na Mindi Joseph Moja ya jukumu la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kukuza maadili kwa watoto jukumu…
19 September 2024, 7:51 pm
Maelezo na taarifa ya ugonjwa ni wajibu na haki ya mgonjwa
Uelewa wa baadhi ya watu kufahamu haki zao za msingi wanapokuwa katika vituo vya afya na hospitali bado ni mdogo. Hali hii ni kutokana na uhaba wa elimu juu ya suala hilo pamoja na baadhi yao kutokuwa na utamaduni wa…
19 September 2024, 7:51 pm
Namba hairidhishi wanawake nafasi za uongozi
Hali ya mfumo dume , itikadi za kidini na imani ndogo ya jamii kwa mwanamke imepelekea idadi ya wanawake katika nyadhifa mbalimbali kuwa ndogo tofauti na wanaume hapa nchini. Na Mariam Kasawa Kupitia utafiti uliofanywa na mtandao wa jinsia tanzania…