Recent posts
1 October 2024, 7:52 pm
Jamii ya wenye ualbino wapaza sauti kuelekea chaguzi zijazo
Na Nazael Mkude. Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Nchini wito umetolewa kwa jamii kuacha tabia ya kuhusisha imani za kishirikiana katika mafanikio ya kisiasa. Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Mkoa wa Dodoma Bwn. Lodovick…
30 September 2024, 7:11 pm
Wanne mbaroni tuhuma za mauaji Dodoma
Na Nazael Mkude. Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za matukio ya mauaji yaliyofanyika kwa nyakati na muda tofauti ndani ya Jiji la Dodoma. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dodoma, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma George Katabaz…
30 September 2024, 7:10 pm
Zuzu yaiomba JICA huduma ya maji zaidi
Wananchi wa mtaa wa Mazengo Kata ya Zuzu wameliomba Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) kuwaongeza upatikanaji zaidi ya huduma ya maji kufuatia ukarabati wa kisima cha maji uliofanywa na shiirika hilo. Na Mindi Joseph. Licha cha ya…
30 September 2024, 7:10 pm
Elimu zaidi ya VVU yahitajika kwa Vijana
Na Yussuph Hassan. Vijana Jijini Dodoma wameomba elimu iendelee kutolewa ili kukumbusha jamii juu ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Wakizungumza nyakati tofauti na Dodoma TV wakazi hao wamesema kuwa kwa kufanya hivyo itasaidia kupunguza maambukizi mapya ya…
30 September 2024, 7:09 pm
Chidachi walilia urasimishaji wa makazi
Na Nazael Mkude . Wakazi wa Chidachi Kusini Mkoani Dodoma wameomba kupata huduma ya upimaji wa viwanja pamoja na kurasimishiwa makazi yao ambayo wamekuwa wakiyatumia kwa muda mrefu. Wakieleza malalamiko yao kupitia kituo cha habari cha Dodoma TV, wamesema kuwa…
27 September 2024, 8:42 pm
Vijana tumieni vipaji kutatua changamoto ya ajira
Na Steven Noel. Changamoto kubwa inayowakabili vijana kwa sasa ni suala la upatikanaji wa ajira. Kutokana na changamoto hiyo, baadhi ya vijana wamefikiria njia mbadala ya kutumia vipaji walivyonavyo ili kujipatia kipato ili kuweza kujikimu kimaisha. Hapa tumsikie moja ya…
27 September 2024, 8:42 pm
Maafisa ugani jijini Dodoma wapigwa msasa
Na Fred Cheti. Maafisa ugani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kutumia mafunzo waliyopatiwa kuhusu mfumo wa fursa na vikwazo vya maendeleo katika kuisaidia jamii kukua kiuchumi. Wito huo umetolewa na Bwn. Briani Samweli Mkufunzi wa Mafunzo kutoka Ofisi…
27 September 2024, 8:42 pm
Hakuna tozo kuandikisha au kuboresha taarifa daftari la mpiga kura
Na Mindi Joseph. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule ameonya juu ya upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu mwenendo wa zoezi la uandikishaji wananchi katika daftari la kudumu la mpiga kura . Akizungumza na waandishi wa habari…
27 September 2024, 6:00 pm
Plan International yazindua girls take over, sikia sauti zetu
Oktoba 11 kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Msichana lengo likiwa ni kutoa elimu juu ya umuhimu wa upatikanaji wa haki na uwezeshaji wa wasichana duniani kote. Na Hilali Ruhundwa Kuelekea Siku ya Msichana Duniani, shirika la Plan…
26 September 2024, 7:52 pm
Vifahamu visababishi vya ugonjwa wa macho
Na Yussuph Hassan.Tabibu Msaidizi kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu Jiji la Dodoma Pepertua Kasase amesema kuwa ugonjwa wa macho unaweza kusababishwa na historia ya mgojwa mwenyewe endapo kama alishawahi kupata ugonjwa huo siku za nyuma au mazingira aliyopo kwa sasa.…