Recent posts
15 October 2024, 7:28 pm
Nawa mikono uwe salama kiafya
Na Anwary Shabani. Kunawa mikono mara kwa mara ni moja ya kanuni ya afya inayosaidia jamii kuepuka magonjwa yatokanayo na bakteria. Ikiwa leo ni Oktoba 15, siku ya kunawa mikono duniani, wananchi jijini Dodoma wanaeleza umuhimu wa kunawa mikono mara…
14 October 2024, 7:58 pm
Mwalimu atiwa mbaroni kwa tuhuma za ubakaji
Na Mindi Joseph. Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limefanikiwa kumtia nguvuni mwalimu ambaye ni mtuhumiwa wa ubakaji na amefikishwa mahakamani kujibu tuhumu zinazomkabili. Tukio hilo la ubakaji limetokea katika kijiji cha Nhinhi kilichopo umbali wa Km 50 kutoka ndani ya…
14 October 2024, 7:57 pm
PM Majaliwa awataka vijana kuchangamkia fursa za teknolojia
Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wachangamkie fursa zinazotokana na maendeleo ya teknolojia katika kujipatia kipato na kushiriki kukuza Uchumi wa Taifa . Amesema hayo Octoba 11 wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa…
14 October 2024, 7:57 pm
Ulishaji mifugo holela ni adui wa mazingira
Na Mariam Kasawa. Wakazi jijini Dodoma wametakiwa kuachana na ufugaji holela ambao umekuwa ukichangia kwa kiasi kikubwa kuangamiza miti inayo pandwa. Bwn. Innocent Makomba Afisa mazingira amesema hayo katika mahojiano maalum baada ya zoezi la upandaji miti katika shule ya…
14 October 2024, 7:56 pm
Bahi kuongeza pato ujenzi vibanda vya biashara
Na Leonard Mwacha. Wilaya ya Bahi inatarajiwa kuongeza pato lake la ndani kutokana na ushuru wa vibanda vya biashara pamoja na ushuru wa bishara ndogo ndogo. Bwn. Jeremia Maximilian mjumbe ngazi ya ustawi wa jamii Bahi sokoni amesema eneo ambalo…
11 October 2024, 7:25 pm
Uwiano kazi za nyumbani wahitajika mtoto wa kike kufanikiwa kielimu
Mgawanyo sawa wa kazi za nyumbahi wahahitajika mtoto wa kike kufanikiwa kielimu Majukumu mengi ya kazi za nyumbani kwa mtoto wa kike imetajwa kuwa sababu inayorudisha nyuma maendeleo ya elimu. Afisa Miradi kutoka Action For community care Fatma Kibasa amesema…
11 October 2024, 7:25 pm
Bonanza Kuhamasisha uandikishaji lafana Mpwapwa
Na Steven Noel. Wananchi Wilayani Mpwapwa wamehamasika kwa kiwango kikubwa kuitikia wito kujiandiksha daftari la mpiga kura. Akishiriki bonanza maalumu la uhamasishaji zoezi la uandikishaji daftari la mpiga kura, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt Sophia Mfaume Kizigo ameambatana na…
11 October 2024, 7:25 pm
Wanafunzi chachu ya mabadiliko katika jamii
Wanafunzi zaidi ya 900 kutoka shule 10 za sekondari Mkoani Dodoma wameshiriki Mdahalo wa kuwajengea uwezo wa kupambana na Rushwa,matumizi ya dawa za Kulevya na kijikinga na Maambukizi ya VVU. Mdahalo huo umeandaliwa na Takukuru Mkoa kwa kushirikiana na Tume…
11 October 2024, 7:24 pm
Wafanyakazi wahanga magonjwa ya afya ya akili sehemu za kazi
Wanyakazi wanatajwa kuwa hatarini kupata magonjwa ya afya ya akili kutokana na mazingira ya kazi au shughuli wanazofanya. Katibu Mkuu Msaidizi Chama Wataalamu wa Saikolojia (TAPA) Bwn. Albano Michael pamoja Mwenyekiti Kanda ya Kati Magharibi Bwn. Shabani Waziri wamebainisha hayo…
10 October 2024, 10:10 pm
Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, wazazi waaswa kuzingatia malezi
Dunia inaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike huku changamoto zinazomkwamisha mtoto wa kike kufikia ndoto zake hasa katika uongozi zikitafutiwa ufumbuzi kupitia kampeni ya ‘Msichana Shika Hatamu’. Na Hilali A. Ruhundwa Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanatekeleza jukumu la msingi…