Dodoma FM
Dodoma FM
21 October 2025, 3:53 pm
Picha ni taarifa kwa umma kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Picha na Selemani Kodima. Wizara imekumbusha kuwa usambazaji wa maudhui yasiyo na maadili ni kosa kisheria chini ya Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015, na…
21 October 2025, 3:35 pm
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus katika mafunzo ya kuongeza ujuzi kwa wakulima na wazalishaji wadogo. Picha na Selemani Kodima. Mafunzo haya yanatolewa kwa ushirikiano na Taasisi ya Utafiti…
21 October 2025, 3:21 pm
Picha ni baadhi ya wakulima wasindikizaji wa zabibu katika mafunzo ya kuongeza ujuzi Picha na Selemani Kodima. Katika mafunzo hayo yaliyofanyika Hombolo, jijini Dodoma jumla ya wakulima 70 wamepatiwa mafunzo hayo kwa ajili ya kuongeza thamani ya zao la zabibu.…
21 October 2025, 1:03 pm
Picha ni baadhi ya mabondia watakaoshiriki katika pambano la ngumi Kibaigwa wakiwa katika mazoezi. Picha na Hamis Makila. Pambano hilo litashirikisha mabondia 25 kutoka maeneo ya Tanzania, huku pambano kuu likiwa kati ya Anthony Boiko na George Dimoso. Na Hamis…
21 October 2025, 12:00 pm
Picha ni Uwanja wa Jamhuri utakapochezwa mchezo kati ya Yanga Sc na Tanzania Prisons Novemba 01. Picha na Hamis Makila. Uamuzi wa kuhamishia mchezo huo katika Uwanja wa Jamhuri umetokana na taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)…
20 October 2025, 5:36 pm
Picha ni Kiongozi wa Machifu wa Mkoa wa Dodoma, Chief Yasin Bilinji. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Bilinji, amesema hakuna haja ya kuvunja amani ya taifa ikiwa zoezi la upigaji wa kura ni haki ya msingi kwa kila…
20 October 2025, 5:16 pm
Wakazi wa Kijiji cha Chanhumba wamesema licha ya jitihada zao za kulima, mazao yao yalikauka kutokana na ukosefu wa maji ya kutosha. Picha na Dodoma FM. Wakazi wakijiji hicho wameiomba serikali kuwasaidia kupata mahindi kwa bei nafuu ili kukabiliana na…
20 October 2025, 3:46 pm
Picha ni Kaimu Katibu Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Umma John Mbisso, katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa fedha 2025/26 uliofanyika jijini Dodoma. Picha na Selemani Kodima. Katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa fedha 2025/26 uliofanyika jijini…
17 October 2025, 4:00 pm
Wakati uchaguzi mkuu ukikaribia, vijana wa Chitabuli wametakiwa kujitokeza kupiga kura kwa amani na kuepuka vitendo vya vurugu. Picha na Blogers. Kwa kufanya hivyo, watakuwa wametimiza haki yao ya msingi, kwani kila kijana ana wajibu wa kushiriki kikamilifu katika mchakato…
17 October 2025, 3:39 pm
Wachimbaji wadogo wa madini wametakiwa kutumia vifaa vya kinga migodini ili kuepuka madhara ya kemikali yanayoweza kuathiri afya zao. Picha na Blogers. Kwa kuzingatia matumizi ya vifaa sahihi wakati wa uchimbaji wa madini wataweza kuepukana na athari za kiafya zinazoweza…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-