Dodoma FM
Dodoma FM
20 February 2026, 5:29 pm

Wananchi hao wanadai kuwa ahadi ya kutekeleza ujenzi wa barabara hiyo zimekuwa hazitekelezeki.
Na Stephen Noel
Wananchi wilaya ya Mpwapwa mkoa wa Dodoma wameiomba serikali kukamikisha mpango wa ujenzi wa barabara ya Rami kutoka njia panda ya Kongwa Hadi Mpwapwa .
Wakiongea na Taswira ya habari wananchi hao wamesema wamekuwa wakipewa ahadi ambazo zimekuwa hazitekelezeki miaka nenda miaka Rudi .