Dodoma FM
Dodoma FM
13 February 2026, 4:29 pm

Aidha Katika makusanyo ya mapato Kwa Robo ya pili Kwa mkoa wa Dodoma halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa imekuwa ya mwisho Katika ukusanyaji Kwa Katika wilaya nane za mkoa huo.
Na Steven Noel.
Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa imepanga kukusanya jumla ya shilingi billion 52. na milion mia nane Kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kutoka vyanzo mbalimbali .
Akiongea kwenye kikao cha Baraza la madiwani mwenyekiti wa halmashauri hiyo bwana Richard Maponda amesema
Wakitoa salama za serikali kuu kaimu Afisa tawala wilaya na kaimu Afisa tawala mkoa wamesema