Dodoma FM
Dodoma FM
06/02/2026, 11:54

Hayo yamebainishwa na Meneje wa uwanja huo Hussein Muhando wakati akizungumzia ujio wa viti hivyo.
Na Hamis Makila
Jumla ya viti 5,500 kutoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa vinatarajiwa kufungwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma mwanzoni mwa mwezi wa March mwaka huu kwa lengo la kutambua idadi ya watu wanaoingia uwanjani na kuongeza thamani kwenye eneo la VIP A na VIP B.
Hayo yamebainishwa na Meneje wa uwanja huo Hussein Muhando wakati akizungumzia ujio wa viti hivyo kwenye mahojiani maalumu na @dodomafmradio kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma.