Dodoma FM

Ramadhan cup kufanyika Dodoma

6 February 2026, 11:29 am

Michuano hiyo inatarajia kuanza february 18.Picha na Dodoma fm.

Ada ya usajili katika mashindano hayo ikiwa ni shilingi 35,000/= ambapo mwisho wa usajili katika mashindano hayo ni tarehe 15.

Na Hamis Makila.
Jumla ya Timu 16 zinatarajiwa kushiriki Michuano ya Ramdhani Cup katika viwanja vya @theafricandreamsarena , michuano itakayo anza kutimua vumbi kwanzia tarehe 18 mwezi huu .

Ada ya usajili katika mashindano hayo ikiwa ni shilingi 35,000/= ambapo mwisho wa usajili katika mashindano hayo ni tarehe 15 huku lengo kubwa la mashindano hayo ni kuunganisha wachezaji na wadau wa soka kuwa pamoja.

Sauti Michezo.