Dodoma FM

Mkutano mkuu wa waamuzi Dodoma kufanyika Novemba 15

12 November 2025, 12:22 pm

Mkutano huo ulitakiwa kufanyika mapema lakini uliahirishwa kutokana na hali ya usalama ambapo sasa utafanyika desemba 15 jijini Dodoma.

Na Hamis Makila.
Mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha uamuzi jijini Dodoma unatarajiwa kufanyika Desemba 15 20225 .

Mkutano huo ulitakiwa kufanyika mapema lakini uliahirishwa kutokana na hali ya usalama ambapo sasa utafanyika desemba 15 jijini Dodoma.

Akiongea na taswira ya habari michezo katibu wa chama cha waamuzi jijini Dodoma Bw. Abdul Ramadhani amesema maandalizi yanakwenda vizuri na mkutano huo utajumuisha uchaguzi ikiwemo kumchagua mwenyekiti wa chama hicho Taifa.

Sauti ya michezo.