Dodoma FM

Fountain gate princess yajinoa kuelekea ligi kuu wanawake

7 November 2025, 5:00 pm

Picha ni wachezaji wa timu ya Fountain gate princess.Picha na Faunteingateprincessfc.

Hamis Makila amezungumza na kocha mkuu wa kikosi hicho Given ambapo ameelezea maandalizi ya kikosi hicho.

Sauti michezo.