Dodoma FM

Dodoma jiji yasubiri majibu kutoka bodi ya ligi

27 October 2025, 5:29 pm

Pich ni baadhi ya wachezaji wa timu ya Dodoma jiji.Picha na Dodoma jiji football clib.

Hamis Makila amezungumza na msemaji wa timu hiyo Moses Mpunga ambapo ameeleza kuwa bado wanasubiri majibu kutoka bodi ya ligi.

Michezo.