Kisasa heroes yaaga mashindano ligi ya kikapu mkoa
Kisasa heroes yaaga mashindano ligi ya kikapu mkoa
29/09/2025, 14:37
Picha ni Timu ya kikapu ya Kisasa heroes Jijini Dodoma. Picha na Kisasa heroes.
Na Hamis Makila.
Timu hiyo ya kisasa heroes baada ya kuaga mashindano ya kikapu Mkoa imewaahidi mashabiki wake kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya Kitaifa ya Kikapu.