Dodoma FM
Dodoma FM
16 September 2025, 3:08 pm

Je, nini kilipelekea kijana huyu ajiingize katika matatizo ili tu kumsaidia mpenzi wake? Fuatana nasi katika vjimambo.
Leo katika vijimambo tupo nchini Uganda ambapo tunakutana na kisa cha kijana mmoja kujifanya mwanamke ili amfanyie mpenzi wake mtihani.