Dodoma FM
Dodoma FM
15 September 2025, 3:34 pm

Karibu katika sehemu ya kwanza ya igizo la sauti ya tiba.
Na Mariam Kasawa.
Karibu kusikiliza mchezo wa redio unaoitwa sauti ya tiba ili uweze kuelimika na kupata burudani kipindi hiki kitakujia kila siku kupitia
https://radiotadio.co.tz/dodomafm/ na hii ni sehemu ya kwanza ya mchezo huu wa redio.