Dodoma FM

Zuia magonjwa yasiyoambukiza kwa kuchangia damu

12 November 2024, 10:23 am

Na Anwary Shabani.

Wananchi wametakiwa kujenga utamaduni wa kujitokeza kuchangia damu ili kusaidia  kuzuia magonjwa yasiyoamabukiza.

Mratibu wa damu salama katika jiji la Dodoma Jerome Felician ameyasema hayo wakati wa kampeni ya uchangiaji damu inayojulikana kama  “ Zuia Magonjwa Yasiyo Ambukiza Kwa Kuchangia Damu” iliyofanyika   Nov. 09, 2024 katika  viwanja vya Nyerere Squire.

Pichani Mratibu wa damu salama katika jiji la Dodoma Bwn. Jerome Felician Marando
Sauti ya Bwn. Jerome Felician Marando

Aidha Bwn. Christopher Mkano ambaye ni mtaalamu wa afya kutoka Dodoma amezungumzia umuhimu wa mwananchi kuchangia damu salama.

Pichani Bwn. Christopher Mkano Mtaalamu wa afya Jijini Dodoma
Sauti ya Bwn. Christopher Mkano

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuchangia damu walikuwa na haya ya kusema

Sauti za wananchi

Sanjari na hayo Mratibu huyo amewatoa hofu  wananchi juu ya suala la uchangiaji damu kuwa halina tatizo lolote  hivyo wasiogope kwenda kuchangia damu

Sauti ya Bwn. Jerome Felician Marando
Pichani wananchi waliojitokeza kujitolea damu katika viwanja vya Nyerere Square