Dodoma FM

Fahamu hali ya upatikanaji wa dawa katika huduma za afya

1 November 2024, 6:50 pm

Na Fredi Cheti.

Wananchi wengi wamekuwa hawana uelewa wa jinsi ya upatikana wa dawa mara wanapokuwa katika mchakato wa matibab.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kongwa Dkt. Omari Nkulo anaelezea jinsi ya upaatikanaji wa dawa katika huduma za afya.

Pichani Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kongwa Dkt. Omari Nkulo akielezea hali ya upatikanaji wa dawa katika huduma za afya.
Sauti ya Dkt. Omari Nkulo

Aidha Dkt Nkulo amesema kuwa wilaya hiyo imeweka utaratibu mzuri wa kuwasaidia wananchi ambao watakutana na changamoto kutoka kwa watoa huduma ili kuzidi kuboresha utoaji huduma.

Sauti ya Dkt. Omari Nkulo