Dodoma FM

Jipime mwenyewe VVU kwa mate yako

24 October 2024, 7:49 pm

Na Mindi Joseph.

Huduma ya kipimo cha virusi vya ukimwi cha kujipima mwenyewe kwa kutumia mate imeanza kutolewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.  

Dkt Adam Adam Mhudumu wa afya ngazi ya jamii anaelezea namna ya kutumia kipimo hicho.

Dkt Adam Adam Mhudumu wa afya ngazi ya jamii anaelezea namna ya kutumia kipimo cha VVU
Sauti ya Dkt Adam Adam

Msimamizi wa Kitengo cha tiba na matunzo Bi. Zainabu Nashombwa ameshauri jamii kupima afya zao ili kuepuka magonjwa nyemelezi endapo watabaika kupata maambukizi ya VVU.

Msimamizi wa Kitengo cha tiba na matunzo Bi. Zainabu Nashombwa akishauri jamii kuwapima VVU
Sauti ya Bi. Zainabu