Dodoma FM

Afya ya akili ni changamoto kwa vijana  

23 October 2024, 6:59 pm

Na Steven Noel.

Vijana ambao  ni nguvu kazi ya taifa wanakabiliwa na changamoto ya afya ya akili kutkana na sababu mbalimbali likiwemo suala la mahusiano.  

Julieth Mageje muuguzi kitengo cha afya ya akili wilayani mpwawa anabainisha chanzo la tatizo la afya ya akili kwa vijana.

Pichani Bi. Julieth Mageje muuguzi kitengo cha afya ya akili Wilayani Mpwawa
Sauti ya Bi. Julieth Mageje

Moses Haule muuguzi kitengo cha afya ya akili Wilayani Mpwawa anaelezea jinsi utumiaji wa pombe kali unvyoweza kuwa ni moja ya sababu ya changamoto ya afya ya akili.

Bwn. Moses Haule muuguzi kitengo cha afya ya akili Wilayani Mpwawa
Sauti ya Bwn. Moses Haule

Je wananchi wanauelewa gani juu ya tataizo la afya ya akili?

Pichani moja ya mwananchi akielezea uelewa wake juu ya changamoto ya afya ya akili
Sauti za wananchi